RAGNAR LOTH
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 698
- 1,589
KUNA MTU NATAKA NIMWAMISHIE FESIBUKU. Time will tell
Hapendi pia mnavyotutendaaaMungu hapendi
Kweli maserati wametupa shida na lugha yao kumbe kiswahili wanajua
Me quedaré aquí no pmEwaaaaaaa mmefanya la maana sana
We dark angel tuna mix madesa, code ya sakayo tayari tumeielewa wote. Bado code ya abroad na uchagani.Hata wewe haujaielewa jamani
Ndoa ikifungwa njooni mnichambe .Mwenzangu ubuyu mwingine unamungunya mpaka unatetemekaaa...
Code imetiki hiyo, ila namie nilisikia ndoa inapikwa inapikika huko mambo bambam
Mwenyewe jamaan bonny nendeni pmMe quedaré aquí no pm
HahahaWanasema hatarious
Aiseeee unamkanaje mumeo jamaan
Hamna ndoa vicheche wamekutana dear.Nini dar angel niambie
Ewaaaaa hapa sasa inabidi twendeni sawaWe dark angel tuna mix madesa, code ya sakayo tayari tumeielewa wote. Bado code ya abroad na uchagani.
Eeh. Hata. Mi nimesikia hivo lakini dark angel kasema haiwezi kuwa kutokana na kazi ya kaka inaweza kuwa ni mapicha picha tu sio kweli etiiiiiMwenzangu ubuyu mwingine unamungunya mpaka unatetemekaaa...
Code imetiki hiyo, ila namie nilisikia ndoa inapikwa inapikika huko mambo bambam
Ile mida tuloaacha kuchat ndo nimeingia ujueHivi kwa nini haujaniambia niingie jf toka alfajiri
Hahahaaa!! Drama tu za jf mdogo wangu. Haujambo mamii?Na kweli maana naona maluweluwe tuu my ss
Sent from my HTC ONE using JamiiForums mobile app
Na keshoooooJuzi, Jana na leo
HahahaYaani sakayo mmh. Sio mtu mzuri![]()
Aibu nimeona mie rubii mume kweli hata kama amekukosea sana huwezi kumkana sababu ya mtu wa kupita tuOhooo dunia ina mambo t
HahahaAsante. Mwambie huyo maana msuto utamgeukia soon kwa nini hatuelewi sisi jamani tumeshasema hamna kitu haelewi