Smart911 Kufunga Mwaka na Kasinde. ....

Smart911 Kufunga Mwaka na Kasinde. ....

Status
Not open for further replies.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]tena ulimwengu wa tekinolojia to the high eksitenti in someone's voice.

Tunaendeleza tu zaidi ya ufahamu aliojitoa
Asubuhi yangu njema. Full Ku watch.
Jf ukiipeleka kwenye maisha ya kawaida utaugua kifafa bure,
Akuuu mieee
Ngoja nipoteze "sitiresi"
 
Hahaha

hawezi kudai labda adai kukojozwa alafu alasiri hii aanike godoro isije usiku akalilia chagga hahahah

brenda mzuri, malkia, mrembo, miss world, miss jf hahaha mzuri nimekudharauu ptyuuu mara ya nne nakutemea mate na uzuri wako.

CC brenda mzuri
njoo direct quote me usijifiche quote za wengine, sipati notification, mate yenyewe siyapati vizuri, basi inakua nakosa vyote[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom