Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,488
Ndo tabia ganii kutusema...Ha ha ha ha sakayoooo
Ndo tabia ganii kutusema...Ha ha ha ha sakayoooo
Bora tusutwe halafu code umeielewa.[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]Mmmmh! tutasutwa jamani mhmh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huwezi jua lakini, kwahyo dyadya mtulivu lakini, una wasiwasi na me??Kwa mfano bongo movie akikwambia anakupenda lazima ujiulize ni kweli au ndiyo anaendelea na maigizo.
Sasa yule naniliu wa sakayo (me) kazi yake ni .... Sasa hata atakachoandika ni mwendelezo wa kazi yake
jamani hata kama kakosea..haa maneno sio mazuri kabisa...Kasinde ni very bright woman. She is perfect and genius. Huyo mahondaw ni mchepuko tu okota okota.
Jana kamfanyia kiwembe wake birthday ya nguvu
Nani sasa walikuja chambana hapa???
Dark angel lakiniiiiKwa mfano bongo movie akikwambia anakupenda lazima ujiulize ni kweli au ndiyo anaendelea na maigizo.
Sasa yule naniliu wa sakayo (me) kazi yake ni .... Sasa hata atakachoandika ni mwendelezo wa kazi yake
Mimi Nina raha maana hamna anayenijua. Ukija chamba fake I'd kivyako.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dark angel nimekushindwa tabia. We wa kufungua code tu
Aiseeee unamkanaje mumeo jamaanWa abroad ndio walichambanaga hapa livelive kumbe walikua wamepangwa foleni
Binti mmoja alikua anamume kumbe kamkana mumewe kajiweka kwa jamaa
mambo yote yakawa hadharani
Ha ha ha haNdio nini hivi tena jamaan
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi Nina raha maana hamna anayenijua. Ukija chamba fake I'd kivyako.
Mimi walaaaaaaaaaaaa
Usife shost.Mtaniua kwa pressshhhhhaaaaa
Kunywa majiKho kho kho kho nina kiu naombeni kinywaji
Najuta ujue hivi kwa nini haujanipigia lakini nitamalizaje hizi pagesNamuona ujue... Mhenga ndo anaamka
[emoji32][emoji32][emoji32]kweliii???Wa abroad ndio walichambanaga hapa livelive kumbe walikua wamepangwa foleni
Binti mmoja alikua anamume kumbe kamkana mumewe kajiweka kwa jamaa
mambo yote yakawa hadharani
Es gracioso hahahaaaaaa por cierto estoy a punto de almorzar ..... su bienvenidaJa ja ja muy cierto que puedo decir que nadie sospechará nada a menos que él / ella entenderá nuestro idioma
Yaani, huyo nimemshindwa tabiaDark angel lakiniiii