Maserati
JF-Expert Member
- Jun 15, 2014
- 11,602
- 20,098
Haiwezi kuwa mimiYani anakudanganya mbele yangu aisee..
Inasikitisha sanaaa
Cc mahondaw


labda adsnganywe mwingine. Kuwa na amaniHaiwezi kuwa mimiYani anakudanganya mbele yangu aisee..
Inasikitisha sanaaa
Cc mahondaw


labda adsnganywe mwingine. Kuwa na amaniLoh!!!!Shoga yanguuu...notification zinachelewaaaa!
Yule waliachana na ilikuwa kweli kabisa....nusu tusutweHapa kuna mawili ukimsoma mwanaume mahusiano yake ya nyuma na ya sasa kwa undani utagundua.
1. Lazima ni huwa ni utani na hajadate na yeyote.
2. Haiwezekani sifa anazomsifia kasinde zifanane na zile lazima kuna kusifiana uongo.
Mapenzi ya jf siyo ya kuyapa umakini.
Kuna couple moja kipindi cha 2015 ilikuwa fire. Yaan mwanamke full kumsifia mume wake. Nashangaa 2016 binti ana Mtu mwingine na sifa anazomwagia ni zile zile. Inamaana basi x wake na wa sasa wamefanana kila kitu.
Kuna siri kubwa ndani ya jf.
Sent from my IPhone 7 plus by using JamiiForums mobile app
Sio msamaha huo bwana!!Si Tulishasameheana lakini?
Wewe unapitwa . Umbea sasa hivi umehamia kwenye uzi wa birthday. Kuwa smart kama mangeHiyo lugha umbea wote umeniisha![]()
![]()
![]()
![]()
Mrs Van
Wanaendeleza kimya kimya.Yule waliachana na ilikuwa kweli kabisa....nusu tusutwe
Cc espy
Mbavu zanguHahaha
naikumbuka kwenye uzi huo huo smart kuja akaanza oohhh baby unajua mikono yangu inachofanya kwenye mwili wako when i kiss u!
mahondaw kuja na yeye, "ohhh supa dia nacheka kwa dharau prah prah prah" kile kicheko nilikuwa nakifananisha na mlio gari moja linaloitwa forokobe au mgongo wa kobe



Ntafsirie shoga angu
Ahahaaaa vipaji vya watu hivi.Wewe unapitwa . Umbea sasa hivi umehamia kwenye uzi wa birthday. Kuwa smart kama mange
Acha niombe ruhusa kwanza.. Saint Ivuga Unaniruhusu???Ntafsirie shoga angu
Mimi nacheka kwa dharauuuSaint Ivuga
sio kwamba nilikuwa nawafuatilia ila karibia kila nyuzi nazoingia nawaona halafu hawana jipya ata iwe siasa, hoja mchanganyiko, celebrit ni INASIKITISHA SANA, MAHONDAW WANGU USISIKILIZE YA DUNIA, MY KING NACHEKA KWA DHARAU...
Ilikuwa inanikera sana yaani sasa leo siwapumzikii nawachaana mpaka mchanike haswaaa tena siondoki ng'ooo mpaka mbadilishe tabia. Msipobadili basi tena na navyopenda umbeya aisehhhh jiandaeni kupata kiharusi
Upi tena mamito???Sio msamaha huo bwana!!
Kungekuwa na kitufe cha kujipiga ban ningejipiga.Naomba tuijadili hi pm, tena jilete mwenyewe b4 me, there.
Wa kuzeeshana.Upi tena mamito???
Hawa wanatuzuga.Binti aliumizwa kaka akijitolea kumsahahulisha maumivu...sasa kama kalikuwa kanaamini kamezimiwa sijui thathaEmbu muulize vizuri. Isije ikawa mambo yale ambayo sio???????
Sema kasie i dada yangu kipenzi
Hahaha, JF bhana.
Nimependa hicho kibwagizo mkuu
Ha haNataka huu umbea ulinipita. Nani na nani hao?? Nipe hata code nitafungua mwenyewe![]()