ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 52,373
- 118,776
Hahaha, naipenda sana style ya jamaa. Unatafuna kila mtu anaona. Mwisho huna cha kujibu coz unatafuna waziwazi...Nafikiri hili ni kaburi baba![]()
![]()
Hahaha, naipenda sana style ya jamaa. Unatafuna kila mtu anaona. Mwisho huna cha kujibu coz unatafuna waziwazi...Nafikiri hili ni kaburi baba![]()
![]()
Aisee,kumbe ww jamaa umeanza mbali,Kwako Kasinde:
Tangu tuwe wapenzi tumependana kikweli pendo letu la moyoni Kasinde...
Mioyo yetu tusibadili wangu kipenzi Kasinde tuepuke ushauri Kasinde...
Na mahasidi wa penzi o Kasinde...
Wa mahasidi wa penzi mpenzi Kasinde...
Na mahasidi wa penzi o Kasinde...
Wa mahasidi wa penzi mpanezi Kasinde...
MV Mapenzi Meli ya wapendanao
Moyo kama Bahari Manahodha mimi na Wewe
Duniani kuna mengi sawasawa na Bahari
Kuna Papa na Nyangumi tena wale wa hatari.....
Hawapendi kuiona Meli yetu baharini
Watafanya kila njia waifupishe Safari...
Ukipata muda leo, njoo Mahaba Beach, Ununio... Evening for Dinner...
Hahaha, naipenda sana style ya jamaa. Unatafuna kila mtu anaona. Mwisho huna cha kujibu coz unatafuna waziwazi...
Shemela hupitwiii?
Shemela koh koh kohKasinde ni very bright woman. She is perfect and genius. Huyo mahondaw ni mchepuko tu okota okota.
Jana kamfanyia kiwembe wake birthday ya nguvu




i'm on the way to airport koh koh koh. Ha aha ha ha. Yani hawa mimi hawa nawachokoza sanaaa hawana hamu na mimi.Lakini shemela unajua wewe ni mkorofi![]()