Kwa mistari hii we jamaa utatumalizia mabinti hapa JF? KHAAA!!Kwako Kasinde:
Tangu tuwe wapenzi tumependana kikweli pendo letu la moyoni Kasinde...
Mioyo yetu tusibadili wangu kipenzi Kasinde tuepuke ushauri Kasinde...
Na mahasidi wa penzi o Kasinde...
Wa mahasidi wa penzi mpenzi Kasinde...
Na mahasidi wa penzi o Kasinde...
Wa mahasidi wa penzi mpanezi Kasinde...
MV Mapenzi Meli ya wapendanao
Moyo kama Bahari Manahodha mimi na Wewe
Duniani kuna mengi sawasawa na Bahari
Kuna Papa na Nyangumi tena wale wa hatari.....
Hawapendi kuiona Meli yetu baharini
Watafanya kila njia waifupishe Safari...
Ukipata muda leo, njoo Mahaba Beach, Ununio... Evening for Dinner...
Muhenga ametishaKwa mistari hii we jamaa utatumalizia mabinti hapa JF? KHAAA!!



Uzuri mi nakuelewa sana. Bahati mbaya wengi hawakujui vizuri.Hey Elli, there is nothing going on between Kasie aka kasinde and the one you mention. I have my new lovers who rides Toyota Brevis maroon in colour.
Please stop spreading past information. Hakuna kitu kama hicho, ifahamike wazi sina mahusiano yoyote na Smart.
Nani tena analeta unaaa
Ha ha haHuu uchochezi sio wa nchi hii jamani
Afu hujajibu swali langu ujueMuhenga ametisha![]()
Usitake na mie nianze....Kwa mistari hii we jamaa utatumalizia mabinti hapa JF? KHAAA!!
Sasa sakayo ban tena yanatoka wapi hayo jamani??? Na ubuyu huu!!! Aisee nikipigwa ban hapo hapo nafungua maserati 2Poa Poa
Ujue kuna ban





Aisee mimi namuelewa sana kasie, hata yeye anajua sanaaUzuri mi nakuelewa sana. Bahati mbaya wengi hawakujui vizuri.
Babu anakutafuta ujue
Kho Kho Kho Kho Kho KhoUzuri mi nakuelewa sana. Bahati mbaya wengi hawakujui vizuri.
Babu anakutafuta ujue
Kule kwingine nimekutag katokea kule. Aiseee anatafutwa kama mwezi wa ramadhani siku ya 30Yuko wapi jamani




Kumbe uliniona huku eeeh... Halafu kule siasani unaniulizaHa ha ha
Nimekujibu mbona Asprin... Chek comment za nyuma hukoAfu hujajibu swali langu ujue