Smart911 Kufunga Mwaka na Kasinde. ....

Smart911 Kufunga Mwaka na Kasinde. ....

Status
Not open for further replies.
nimependa hiyo dedication....naomba unipee maujuzi ya kuandika jina kweny picha kama ulivyoo fanya! Asantee
Thanks.
-huo mwandiko (for kasie) nimeandika mimi kwa mkono wangu. hiyo picha ya chrismass tree nimedownload google.

Gallery - image(Chrismass tree) - setting - edit picture - draw picture.
baada ya hapo utaandika kwa mkono then utaisave na kushare.
 
My name is James....James Jeddah.

I heard you were talking about me.
Ndio ndugu James pana waqt hapa huyu bibie ulikuwa haukauki vidoleni pake sasa tumeona khabari zimehamia kwa smart911 ndio nikamuuliza ndugu yetu James khabari zake ndio zimeishia hapo au James na smart911 ni dugu moya? ndio kisa cha kuliandika jina hilo ndugu.
 
Kasinde, have reached home safe from where we left each other?

Darling, thanks I have safely reach home, just stay up cause if you hear three hones it's Kasie si wajua usingizi wa kubembelezwa raha yake ilivo. ....
Love you most Smart.... muah! !
 
Darling, thanks I have safely reach home, just stay up cause if you hear three hones it's Kasie si wajua usingizi wa kubembelezwa raha yake ilivo. ....
Love you most Smart.... muah! !
Sawa Dear.. vipi kichwa lakini?
 
Sawa Dear.. vipi kichwa lakini?

Yaani bado kinauma uso wote umevutika hata kutabasamu kwa tabu, jinsi ya kulala sasa ndo taabu. Waalaah muda si mrefu utaniona hapo kwako.
Thanks for caring baby boo love you ....
 
Yaani bado kinauma uso wote umevutika hata kutabasamu kwa tabu, jinsi ya kulala sasa ndo taabu. Waalaah muda si mrefu utaniona hapo kwako.
Thanks for caring baby boo love you ....

Thanks for coming...
 
Yaani bado kinauma uso wote umevutika hata kutabasamu kwa tabu, jinsi ya kulala sasa ndo taabu. Waalaah muda si mrefu utaniona hapo kwako.
Thanks for caring baby boo love you ....

Kwako Kasinde:

Tangu tuwe wapenzi tumependana kikweli pendo letu la moyoni Kasinde...
Mioyo yetu tusibadili wangu kipenzi Kasinde tuepuke ushauri Kasinde...

Na mahasidi wa penzi o Kasinde...
Wa mahasidi wa penzi mpenzi Kasinde...
Na mahasidi wa penzi o Kasinde...
Wa mahasidi wa penzi mpanezi Kasinde...

MV Mapenzi Meli ya wapendanao

Moyo kama Bahari Manahodha mimi na Wewe

Duniani kuna mengi sawasawa na Bahari

Kuna Papa na Nyangumi tena wale wa hatari.....

Hawapendi kuiona Meli yetu baharini

Watafanya kila njia waifupishe Safari...

Ukipata muda leo, njoo Mahaba Beach, Ununio... Evening for Dinner...
 
Eeehh daaah yaaani sijui nisemejee. .........
Si kwa mahaba hayaaa, mpenz umejuaje nyimbo za hivi ndo zinanikoshaa natamani ungeniona niliyokuwa na scream na kutabasamu wakati nasoma huu ujumbe wako.....

Hakika nakupenda Smart, umenikamata vilivyo sawasawa na mahasidi wa mapenzi washindweeee.

Nakuja mpenz mie tena, naanzaje kukataa mualiko wako. I love having dinner at beach, yaani unanipatiajeee.

Wewe kwangu ndo jumatatu, jumanne, jumatano, alhamis, Ijumaa, jumamosi na jumapili yangu ni wewe. Naanzaje kukaa mbali na wewe sasa......

Nakupenda Smart nakupenda nakupenda nakuoendaaaaaa mmuuahhh!!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom