Smart911 Kufunga Mwaka na Kasinde. ....

Smart911 Kufunga Mwaka na Kasinde. ....

Status
Not open for further replies.
Nakusubiria siku hyo upige magoti na pete juu me ntakuaa like whaaaaat[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]
Na nyinyi mmeanza eeh??? Haya nitafukua mimi sasa hili kaburi lenu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]subiri relato aje
 
Nakusubiria siku hyo upige magoti na pete juu me ntakuaa like whaaaaat[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]
Yani kuanzia leo sikutibui wala kukununisha tenaaa
Nisije nikapiga goti na almas yangu afu ukanigomea . Yani napiga goti huku nimebeba kama ukigoma tu najinuonga mubashara
 
Wewe ndo huyo Kasie ndo huyo Kasinde usitudange hapa maana ulishapotezaga id yako ukaja kama new member na muandiko wako huo huo. Japo tunatumia fake id lakini yashakukuta kama ya rachel temu ptyuuuuu

cc Eli79 baba mdogo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Cc Aleppo Saint Ivuga nyie watu, mna undugu na mange kimambi??
 
Yani kuanzia leo sikutibui wala kukununisha tenaaa
Nisije nikapiga goti na almas yangu afu ukanigomea . Yani napiga goti huku nimebeba kama ukigoma tu najinuonga mubashara
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] labda sio Ivuga huyo we kila siku lazima unikere
Mara leo umeita watu pm mara umemwambia akukiss
 
Hii couple ya zamaaan huo huu uzi wa mwaka 2016 watu wafukunyuku tu wanataka kumharibia mahondaw asisherekee basidei vizur
Jibu lako hilo apo chini

Haijalishiiiii.
Ina maana mumeo kama alitembea na mdogo wako mwaka jana wewe uje kujua leo utamsamehe??
Ha ha ha?
Yani ndio mahondaw anatakiwa ajue kuwa anafichwa mengi sanaaaz
JAMaa haka ni ka silent killer

Na mimi nilihisi Smart911 ni silent maana kwenye mabandiko humu za kwake ilikuwa INASIKITISHA SANA CC MAHONDAW

kumbe anajua kucheza na akili ya mahondaw i.e asitaje dhambi zake maana wanawake kwa kufuatilia vitu hawajambo, mara inasikitisha kumbe bibi mahondaw anafichwa haya sasa leo bomu limelipuka

nasubiria bandiko kuna mtu kaniharibia out yao uje ushangaa ubuyu unamwagika madhabauni
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom