Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Huu uchochezi sio wa nchi hii jamaniJibu lako hilo apo chini
Na mimi nilihisi Smart911 ni silent maana kwenye mabandiko humu za kwake ilikuwa INASIKITISHA SANA CC MAHONDAW
kumbe anajua kucheza na akili ya mahondaw i.e asitaje dhambi zake maana wanawake kwa kufuatilia vitu hawajambo, mara inasikitisha kumbe bibi mahondaw anafichwa haya sasa leo bomu limelipuka
nasubiria bandiko kuna mtu kaniharibia out yao uje ushangaa ubuyu unamwagika madhabauni


