naiman64
JF-Expert Member
- Nov 22, 2013
- 6,988
- 5,503
Ndio maana wa kwake kamuweka hadharani tumjue kamkabidhi kila kitu tehe teheTuzikabidhi njia zetu kwa BWANA tunapoelekea kumaliza mwaka .
Ndio maana wa kwake kamuweka hadharani tumjue kamkabidhi kila kitu tehe teheTuzikabidhi njia zetu kwa BWANA tunapoelekea kumaliza mwaka .
Huyu jamaa ni kiberiti, hatari sana. Hata sikujua kama yeye na binti Kasie had a "thing".
My apologies Kasie, I was trying to keep records straight. Now that you've denied all allegations, we've cleared you and you can walk majestically a free ladyHey Elli, there is nothing going on between Kasie aka kasinde and the one you mention. I have my new lovers who rides Toyota Brevis maroon in colour.
Please stop spreading past information. Hakuna kitu kama hicho, ifahamike wazi sina mahusiano yoyote na Smart.
Hey Elli, there is nothing going on between Kasie aka kasinde and the one you mention. I have my new lovers who rides Toyota Brevis maroon in colour.
Please stop spreading past information. Hakuna kitu kama hicho, ifahamike wazi sina mahusiano yoyote na Smart.
mahondaw nakuhurumia sana mama. Kunguru hawezi kulelewa na kuku hata siku moja.Kwako Kasinde:
Tangu tuwe wapenzi tumependana kikweli pendo letu la moyoni Kasinde...
Mioyo yetu tusibadili wangu kipenzi Kasinde tuepuke ushauri Kasinde...
Na mahasidi wa penzi o Kasinde...
Wa mahasidi wa penzi mpenzi Kasinde...
Na mahasidi wa penzi o Kasinde...
Wa mahasidi wa penzi mpanezi Kasinde...
MV Mapenzi Meli ya wapendanao
Moyo kama Bahari Manahodha mimi na Wewe
Duniani kuna mengi sawasawa na Bahari
Kuna Papa na Nyangumi tena wale wa hatari.....
Hawapendi kuiona Meli yetu baharini
Watafanya kila njia waifupishe Safari...
Ukipata muda leo, njoo Mahaba Beach, Ununio... Evening for Dinner...
Kasie i love you and i drive BMWHapana ilishakufa na kuzikwa.
Sasa mbona umeamua kufukua makaburi?Hapana ilishakufa na kuzikwa.
Poleh sana Kasie, ndo ukubwa huoHapana ilishakufa na kuzikwa.