Smart911 Kufunga Mwaka na Kasinde. ....

Smart911 Kufunga Mwaka na Kasinde. ....

Status
Not open for further replies.

Maana sio kwa kuliamsha dude kiasi hicho. Dyadya atakufa na presha

nampenda sana mahondaw ndo maana sitaki aumie lazima nimuambie ukweli juu ya wanaume kama kina smart hawa sio anaweza tembea na demu wako hivi hivi ukijakumuona kama unakonyezwa konyezwa kama saa za kichina.

Pole kipenzi changu cha sekondari, jua nakupenda saaaaana na bado ntakupenda bora niugulie rohoni bali ujue nakupenda,

Huyu smart inabidi aandalie kampeni sio kwa kutuharibia dada zetu, tuwalee, tuwatunde alafu aje afanye anachotaka...

mimi nasubiria hapa, kitakacho endelea leo lazima kije na muendelezo wake hapa
 
Nimekupenda bure Aleppo
 
Lazima aumie.
Lakini hii si ni ex jamani???
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom