Smart camera

Smart camera

kiloloma

Member
Joined
Oct 16, 2011
Posts
54
Reaction score
3
Naomba msaada wapi naweza kupata smart camera yenye 1.-zoom kuanzia 14x 2. Megapixel kuanzia 14 mimi nipo dsm pia naomba na bei zake .nashukuru kwa msaada wenu
 
Naomba msaada wapi naweza kupata smart camera yenye 1.-zoom kuanzia 14x 2. Megapixel kuanzia 14 mimi nipo dsm pia naomba na bei zake .nashukuru kwa msaada wenu

umecheck ktk maduka huko Dsm ukakosa?
 
Niomeona maduka mengi kuna zenye mega pixels 14 lakini zoom capacity ni ndogo , nyingi ni 4x,5x na 6x kama kuna maduka unayafahamu ni direct pse
 
sema digital kamera, sio smart kamera, smart kamera ni kamera ambazo zina uwezo wa 3G,
 
Ninamaanisha smart camera sio digital camera , mlimani city nimeenda nimekosa kuna model hii wb 150 14.1 megapixel na optical zoom 18x full hd movie recoding wi-fi connectivitynilwaulizia samsung wakasema zimeisha msaada tafadhali
 
sema digital kamera, sio smart kamera, smart kamera ni kamera ambazo zina uwezo wa 3G,

Mi mwenyewe nimeona anajichanganya huyu.. Anachoongelea ni digital camera sio smart camera..

Niliiona moja kwenye samsung store nchi za watu huku ina 32.1 megapixel, 3g, operating system, connect share, wide color enhcr, ina 16gb internal memory... Bei ni usd 500...

Sasa hiyo smart camera gani hata ku zoom iwe shida...

Hebu mwambie a google smart camera ili aielewe vizuri..

This is a smart world as kuna smartphone, smart tvs, smart camera na mengineyo kibao yanakuja nyuma ya neno smart..
 
Huyu jamaa anaandika vitu havieleweki. Nafikiri anachanganya mambo maana hapa nashindwa kujua kuwa anataka CAMERA pekee au CAMERA yenye SIMU?

Simu zenye Camera zipo nyingi sana mitaani na hata Mchina anabadnika kicamera kidogo kwenye simu yake.

Ila kwa sasa kama sikosei ni SAMSUNG ambaye katengeneza CAMERA yenye simu. Ukiangalia haswa utaona kabisa upande mmoja ni REAL Phone and the side is REAL CAMERA.

Inabidi mleta Sredi ufafanue zaidi wewe wataka nini.

samsung-galaxy-camera1.jpeg
Galaxy Camera by Samsung.
 
Mi mwenyewe nimeona anajichanganya huyu.. Anachoongelea ni digital camera sio smart camera..

Niliiona moja kwenye samsung store nchi za watu huku ina 32.1 megapixel, 3g, operating system, connect share, wide color enhcr, ina 16gb internal memory... Bei ni usd 500...

Sasa hiyo smart camera gani hata ku zoom iwe shida...

Hebu mwambie a google smart camera ili aielewe vizuri..

This is a smart world as kuna smartphone, smart tvs, smart camera na mengineyo kibao yanakuja nyuma ya neno smart..

aisee hii USD 500 lazima uwe na vielement vya kina eqpylz na ndinda...
 
Back
Top Bottom