Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,010
- 23,656
Brown eyes ya Tony Braxton m ndio husahau hata kufanya majukumu yaani
Hzo nyimbo raha yake uwe na mpenzi otherwise utajitonesha tu. Lol
Haswa tena mpenzi awe mume / mke .. Thanks..
Naona nyimbo za wasanii wa Marekani ndo zinatawala humu.
USA baby:usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2:
Deborah cox....we can't be friend,we must be lovers'
Boyz2men.....On bended kneel'
Obviously....
Kuna siku nlikua nasikiliza slow jamz usiku nikiwa nataka kulala....nikiwaza kipindi kile yule mwanamke alivyokua ananipasua kichwa nikajikuta nalia mwenyewe. Lol.... Mapenz haya acheni tu.
Pole dear. Love is always blind.... Dont worry utapata tuu anayekupenda kwa dhati..Thanks..
That was like 3 nd sumthn years ago...
Vipi kwani, hudhani ni wimbo wa mapenzi?
Unaujua?
Brown eyes nadhani ni ya Destiny Child
Hamna mkuu niko sawa
Dear maneno yake tuu yameniacha Hoi kikwetu tunaita Mafumbo ..aaaahhhhaaaa...kama my husband akija kwa style ya wimbo huu honestly hamu yote itaniisha . Na ataambulia patupuuuu... ziko taarab nyingine za slow jam kama nimezama kwa mapenzi by Mwanahela .. and so many but this looh .. aaahhaaaa.. hii ni kiboko .. Thanks...
Huu je?
Nina Mpenzi Wangu Kibamba - Kungubaya
Unaujua huo?
Brown eyes ya Tony Braxton m ndio husahau hata kufanya majukumu yaani
hivi na hii ni slow!?@Nyani Ngabu
Salute!!! Hizi umenigusa na kunikumbusha mbaaali! Memories....U still the one - shania twain
I'm sorry 2004- Ruben
That night - Judy butcher