maishapopote
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 3,502
- 6,415
Nyimbo zote nilizoziorodhesha...watu wachahe mno wanazijua na zimetulia hatari
Love me like You do aisee ni bonge moja la wimbo.
Nyimbo zote nilizoziorodhesha...watu wachahe mno wanazijua na zimetulia hatari
katika wasanii ambao siwapendi na sitakaa nisikilize nyimbo zao mmoja wapo ni Justin bieber
Love me like You do aisee ni bonge moja la wimbo.
Ellie Goudling kasumbua sana huu mwaka!!
1. still love u-Tamia
2. I wanna love u-Britney Spears
3. I turn to you-Christina Aguiela
4. All at once-Whitney Houston
5. I still believe-Mariah Carey
6. Time after time-
7. kiss for the rose
8. Middle of the bed
9. hello-Beyonce
10. Spanish guitter-Ton Braxton
Don Williams - I believe in You
Don William - Say It Again
Don Williams - It must be Love