Mie hata kama wimbo haunikumbushi chochote, ila nikiwa lonely au na stress zangu basi ka wimbo kokote kaslow kanaweza kunirahisishia kutoa machozi teh
Yaap yaapheaven sent
Aaah kumbe hivyo. Mie mvumilivu kidogo afu mtata fulani hivi amazing[emoji87] [emoji87] [emoji87]. Nikiudhiwa napenda kulia wee ila siku nikichoka mmmh utahisi labda upo ndotoni kwa nitakavyokubadilikia. Ujue na mimi na binadamu, sio muda wote ntakuwa najishusha, kuna muda na mimi ntajikuta kaukorofi kamenivaa. Teh ila hasira zikituisha, tukae chini tuongee na mahaba yaendeleesio hizo..hizo tulishafanya 0'level...zile za ndani ya mahusiano..sio unakuwa mpole hadi kero...mtu anakukosea lakini ww ndo unaomba msamaha..mwenza wako amechepuka ww unajifungia chumbani unaomboleza mwezi mzima..inabidi unakuwa nazo zile ili mwenza wako awe na nidhamu kidogo(hata kama ni ya uoga,potelea mbali)..ili hata akiwa anataka kufanya upuuzi anafikiria mara mbili..kwamba wife/husband akijua itakuwa utata
Mmh yani najitahidigi nisilie mbele ya mtu aliyeniudhi, nahisi atanionaje sijui. Ingawa me hata niwe kwenye daladala naweza nikaanza kulia bila hata aibu teh, ila ntainama kwenye seat niact as If nimesinziaNikukute kwenye hali hiyo nakupa bega utulize kichwa plus hand chef nyeupe ufutie vijikamasi..mi siongei nakuanakupet pet mgongo tu...lazima utulie.
I'm doin just fine
Getting along very well
Without you in my life
I don't need you In my life
I'm just doin fine
Time made me stronger
You're no longer in mind........
Hapa lazima mtu alie!....This is the most grief breakup song for the 20th century!
waooh lakin mi napenda zaid hz i love u,,,because you loved me na my heart will go on.
Dah umenikumbushaje, na ile think twice, na the power of love je
Muda wa kula tunda la eden kama na hiz nyimbo zikiwepo huwa nahis raha Mara mbili lakin nishaikubali hii hali ni miaka 12 ya ndoa nishazoea,
Usisahau 'my heart will go on' hili songi unaweza ukajikuta unalia
we sio mtata..unaonekana laini sana lol..Aaah kumbe hivyo. Mie mvumilivu kidogo afu mtata fulani hivi amazing[emoji87] [emoji87] [emoji87]. Nikiudhiwa napenda kulia wee ila siku nikichoka mmmh utahisi labda upo ndotoni kwa nitakavyokubadilikia. Ujue na mimi na binadamu, sio muda wote ntakuwa najishusha, kuna muda na mimi ntajikuta kaukorofi kamenivaa. Teh ila hasira zikituisha, tukae chini tuongee na mahaba yaendelee
Mmh kuna watu wakiona hii comment wataandamana kwa kichura chura hahhaa. Me sio mpole kabisa, na hata nikiwa cool, sura langu tu litakwambia "huyu ni mtu wa matukio" teh tehwe sio mtata..unaonekana laini sana lol..
hahaha!!! hayo maandamano nimeyapenda gafla..nwei ngoja nikubali..japo saikolojia yangu inagomaMmh kuna watu wakiona hii comment wataandamana kwa kichura chura hahhaa. Me sio mpole kabisa, na hata nikiwa cool, sura langu tu litakwambia "huyu ni mtu wa matukio" teh teh
yeah unaweza usiamini, ila ndo ukweli wangu huohahaha!!! hayo maandamano nimeyapenda gafla..nwei ngoja nikubali..japo saikolojia yangu inagoma
ntaongea na mzee sent kwa uhakika zaidiyeah unaweza usiamini, ila ndo ukweli wangu huo
Teh ataandamana na yeye kichura chura ukimwambia mie mpolentaongea na mzee sent kwa uhakika zaidi
basi ntatumia intelijensia yangu mwenyeweTeh ataandamana na yeye kichura chura ukimwambia mie mpole