JackieMisha
Member
- Aug 7, 2019
- 9
- 1
Habari zenu wote. Karibuni Sana, nauza kofia za kulalia kwa wale waliosuka rasta, kushonea weaving, wenye curly hair, natural hair nk. Kitambaa Ni satin, na kwa kuwa satin ni kitambaa laini kofia hizi zitasaidia kulinda nywele zako kwenye kukatika, kujifunga, kwa Rasta kuchakaa haraka ama mtindo kuharibika. Samahani nashindwa kuweka picha.