Taifa_Kwanza
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 443
- 88
Hello
Hakuna Binadamu aliyekamilika hata kidogo, Hasa katika Mambo Binafsi, sio katika mambo ya utendaji, Mapungufu katika utendaji yanatakiwa katika kiwango cha chini sana kiasi ambacho madhara yake tunaweza kuyapuuzia, si madhara ya kufisha.
Fikiria juu ya wajenzi/mainginia wa ujenzi wa majengo, madaraja nakadharika, wanahitajika kuwa na ufanisi wa hali ya juu sana katika kazi zao ama sivyo madhara ya mapungufu yao ni gharama kubwa sana kwa jamaa, yanasababisha vifo na upotevu mkubwa sana wa rasilimali za kiuchumi.
Angalia Madaktari, marubani, madereva nakadharika, wanahitajika kuwa na uwezo wa kutosha katika kazi hizo, ama sivyo madhara yatokanayo na mapungufu wote tunafahamu ni ya kiwango gani, wenye roho nyepesi ufumba macho wasione, ama uziba masikio wasisikie.
Tunawaamini sana wataalamu hawa katika fani zao,lakini ukijaribu kuchunguza maisha yao binafsi, unaweza kutema mate chini, na kustaajabu uchafu ulio jaa katika maisha yao, ama mapungufu makubwa sana katika maisha yao binafsi hasa ya kifamilia.
Uongozi pia, unahitaji watu Makini, Jakaya ana mapungufu yake katika mambo binafsi, Docta slaa pia ana yake, na mimi nina yangu pia, labda makubwa kuliko ya docta slaa au kilaza kikwete. Katika tasnia ya uongozi Docta slaa yuko safi sana, anastahiri kupewa nafasi ya kusimamia idara ya uongozi na utawala katika taifa letu.
By the way, Kikwete amepata nafasi, na matokeo yake tumeyaona, katika siku zijazo, kwa namna baba huyu alivyotudisha watanzania nyuma kimaendeleo, na jinsi aliivyoichafua tunu ya uongozi katika taifa letu, watu watapata faraja japo kidogo kwa kuitemea picha yake mate na kuitukana.
Jakaya hafai kabisa kutuongoza, ameishindwa, hajui kuongoza. CCM Mlimtoa wapi huyu kilaza