Slaas Best Lies (Ukiondoa za msimu za kampeni)

Bango_mwembeyanga.jpg

You never tell them about fluctuations of other currencies right?
 
1. Kuna wanafunzi zaidi ya 400 waliotia saini zao wakipendekeza mimi nigombee urais.( Ilikuwa ni siku ya pili tangu nichukue fomu ya kugombea ubunge wa jimbo la Karatu;sahihi 400 zilipatikanaje ndani ya masaa?Au kwa sababu alihojiwa na gazeti la Mwananchi?!)
2. Sikuwa na ndoto ya kugombea urais.( Kuna wanafunzi zaidi ya 400 waliotia saini zao wakipendekeza mimi nigombee urais;uliamua ndani ya siku mbili?,safi,kumbe hata kulipa madeni yote ndani ya siku 100 inwezekana)
3. Mwaka 2001 hadi 2008 Watanzania ambao ni masikini wa kutupwa wameongezeka kutoka 11.4 milioni hadi 12.9 milioni. (Ni 11.1 hadi 11.8,World Economic Report 2010)
4. Mfumo mbovu wa uendeshaji wa serikali unasababishwa na Katiba mbovu. (Maana yake serikali yoyote ikiwa madarakani na ikatenda vibaya isihojiwe mpaka katiba irekebishwe na kwamba yeye amekuwa sehemu ya Bunge linaloongozwa kwa katiba mbovu kwa miaka mingi na amekubali waliounda katiba hiyo toka mwaka 1977 si lolote)
5. Nitajenga mfumo mpya wa serikali kwa kubadilisha Katiba.(Katiba hushughulikiwa na Bunge au huandikwa na rais kama mahubiri kanisani?)
6. Hadi sasa imejenga shule za sekondari 300 tu.(Shule zilizojengwa ni 3,131 katika kata 2,575)
7. Ahadi kwenye bajeti zipo, lakini hazitekelezwi.(Hakuthubutu kuendelea kuelezea hapo,alijua ni uongo)
8. Hakuna utawala wa sheria.(Nini kilimpata Shibuda alipoleta ghasia Mafia?)
9. Mimi ni ‘zero tolerance’ kwa ufisadi. (Ruzuku ya Tshs.1 Bilioni kila mwaka toka serikalini kwenda CCBRT ina matatizo kila mwaka,huko yeye ni mwenyekiti;ameacha ukatibu mkuu wa Baraza la Maaskofu Tanzania akiwa na matatizo mengi ya kifedha na hata jimboni Mbulu)
10. Hakuna ‘level ground’ ya siasa hapa nchini.(Ni nani ambaye hakusaini sheria ya uchaguzi na ambaye hawajibiki akizivunja?)
11. Chadema ndicho chama mbadala.(Kwa uhalisia na vipimo gani?)
12. Sikujua kama Josephine ni mkwe wa mtu.
13. Kafulila ni mdudu sisimizi. (Lmao!)
14. I was cleared by the Vatican.( http://lineofauthority.com/,priesthood is never cleared)
15. Kikao cha kutengue uteuzi wa viongozi huwa ni cha kiofisi.(Kafulila alitimuliwa kihuni).
16. Tunawapenda Watanzania wote.(familia yake yenyewe ameshindwa kuiweka iishi pamoja kwa upendo).

Hivi Slaa yuko wapi?Kimya sana.
 
How do you know that he is lying na unataka tuamini what you are saying is true wakati una lots of speculations ndani yake..

Mfano namba 1. huna uhakika unaelezea hisia zako, same kwenye namba mbili, jisome vizuri utaona
3. Tupe link tukahakikishe data zako
4. Katiba ya sasa ilitengenezwa katika mfumo wa chama kimoja, Inawezekana ilikua nzuri 1977 lakini the socio-economic as well as political environment imebadilika sana toka kipindi hicho. Argument yako hapa can be easily challenged, ts your opinion na sio TRUTH as you say.
5. Unajua what happened in Zanzibar, mabadiliko ya katiba yanahitaji political will ( utashi wa kisiasa) As a president ana role kubwa katika hilo, trust me' Bunge na serikali vinafanya kazi pa1 kwenye hili. mpe nafasi akishindwa ndo useme.

Kwa haya machache nadhani you shuld go back to the drawing table ujiandae upya.. nadhani unaongea hisia zako tu, sina uhakika hata kama yote unayo-mquote ni ya kweli maana hata basis ya arguments zako ni hisia tu'

Harakati za kutetea UDIKTETA wa Nyerere huuooooooo!
 
Hujui usemalo wewe kaa kimya acha wajuao maana halisi ya mabadiliko waongee sio unaropokaropoka tu? bring changes my friends mwacheni na utoto wake akikuwa ataacha na atakuwa ameelimika.
 
LETE SERA MKUU WACHANA na dk.slaa huwezi kutuchange tukaamini urongo wango kuhusu yeye tunayajua sana hayo unayoyazungumzia siju ni ya slaa wa wp cyo ya huyu tunayemjua
 
Uamini usiamini CCM inasere za kuaminika kitaalamu, si za kudandia kihuni, utekelezaji waonekana, matatizo ya mtu binafsi kwa wale wanaohitaji msaada wafanyika, huduma mahospitalini zatolewa kwa kiwango na kujitahidi kulingana na hali ya nnchi,
Kidumu CCM
 
1. Kuna wanafunzi zaidi ya 400 waliotia saini zao wakipendekeza mimi nigombee urais.( Ilikuwa ni siku ya pili tangu nichukue fomu ya kugombea ubunge wa jimbo la Karatu;sahihi 400 zilipatikanaje ndani ya masaa?Au kwa sababu alihojiwa na gazeti la Mwananchi?!)
2. Sikuwa na ndoto ya kugombea urais.( Kuna wanafunzi zaidi ya 400 waliotia saini zao wakipendekeza mimi nigombee urais;uliamua ndani ya siku mbili?,safi,kumbe hata kulipa madeni yote ndani ya siku 100 inwezekana)
3. Mwaka 2001 hadi 2008 Watanzania ambao ni masikini wa kutupwa wameongezeka kutoka 11.4 milioni hadi 12.9 milioni. (Ni 11.1 hadi 11.8,World Economic Report 2010)
4. Mfumo mbovu wa uendeshaji wa serikali unasababishwa na Katiba mbovu. (Maana yake serikali yoyote ikiwa madarakani na ikatenda vibaya isihojiwe mpaka katiba irekebishwe na kwamba yeye amekuwa sehemu ya Bunge linaloongozwa kwa katiba mbovu kwa miaka mingi na amekubali waliounda katiba hiyo toka mwaka 1977 si lolote)
5. Nitajenga mfumo mpya wa serikali kwa kubadilisha Katiba.(Katiba hushughulikiwa na Bunge au huandikwa na rais kama mahubiri kanisani?)
6. Hadi sasa imejenga shule za sekondari 300 tu.(Shule zilizojengwa ni 3,131 katika kata 2,575)
7. Ahadi kwenye bajeti zipo, lakini hazitekelezwi.(Hakuthubutu kuendelea kuelezea hapo,alijua ni uongo)
8. Hakuna utawala wa sheria.(Nini kilimpata Shibuda alipoleta ghasia Mafia?)
9. Mimi ni ‘zero tolerance’ kwa ufisadi. (Ruzuku ya Tshs.1 Bilioni kila mwaka toka serikalini kwenda CCBRT ina matatizo kila mwaka,huko yeye ni mwenyekiti;ameacha ukatibu mkuu wa Baraza la Maaskofu Tanzania akiwa na matatizo mengi ya kifedha na hata jimboni Mbulu)
10. Hakuna ‘level ground’ ya siasa hapa nchini.(Ni nani ambaye hakusaini sheria ya uchaguzi na ambaye hawajibiki akizivunja?)
11. Chadema ndicho chama mbadala.(Kwa uhalisia na vipimo gani?)
12. Sikujua kama Josephine ni mkwe wa mtu.
13. Kafulila ni mdudu sisimizi. (Lmao!)
14. I was cleared by the Vatican.( http://lineofauthority.com/,priesthood is never cleared)
15. Kikao cha kutengue uteuzi wa viongozi huwa ni cha kiofisi.(Kafulila alitimuliwa kihuni).
16. Tunawapenda Watanzania wote.(familia yake yenyewe ameshindwa kuiweka iishi pamoja kwa upendo).

Subiria kitachofuiata, ni migogoro kati yake na Mbowe. Atataka kumpelekesha Mwenyekiti wake, na si ajabu akarudi CCM huyo!
 
Bunch of bull shit! Kichwa chako kimejaa funza weusi!

Looks like cha kwako kimejaa konokono! Teh teh teh!

Kelele za kuhudhuria sherehe za kumuapisha Silaa zimeshakwisha! Kelele za "pipoz pawa" nazo zishakwisha! Teh teh teh!!!!!
 
Hujui usemalo wewe kaa kimya acha wajuao maana halisi ya mabadiliko waongee sio unaropokaropoka tu? bring changes my friends mwacheni na utoto wake akikuwa ataacha na atakuwa ameelimika.

Sasa mbona wewe unayejua unaongea kwa kigugumizi? Je utahudhuria sherehe za kumuapisha Dokta Silaa! Teh teh teh!!!!!
 
Hello

Uongozi pia, unahitaji watu Makini, Jakaya ana mapungufu yake katika mambo binafsi, Docta slaa pia ana yake, na mimi nina yangu pia, labda makubwa kuliko ya docta slaa au kilaza kikwete. Katika tasnia ya uongozi Docta slaa yuko safi sana, anastahiri kupewa nafasi ya kusimamia idara ya uongozi na utawala katika taifa letu.

Kama alivyopewa uongozi pale TEC akavuruga. Kama alivyopewa Upadri akashindwa kuzizuia sehemu zake za siri! Right?

Jitu lilishondwa kujizuia matamanio ya mwili, kuna guarantee gani kuwa ataweza kujizuia na matamanioa ya mamlaka? Acheni kutufunga kamba!

By the way, sherere za kumuapisha Dokita Silaa tulizokuwa tunaalikana zimeishia wapi vile? Teh teh teh!!!!!!
 
Back
Top Bottom