Slaas Best Lies (Ukiondoa za msimu za kampeni)

Iam afraid its too late for you broda!...Keep these records in paper, tutazipitia mbele ya safari tukiwa naye kama rais!, na tutaona applicability wakati huo...
Kwasasa huwezi kubadili hata milimetre ya situation!
Pole, sina msaada zaidi na wewe!

Man is least himself when he talks in his own person. Give him a mask, and he will tell you the truth
 
Njia hiyo ilifanya kazi mwaka 2005 kwa akina Salim huko CCM, siyo njia robust ya kuweza kufanya kazi kwa kila mtu nchi nzima.

Uongo wote huo haufikii ukweli wa Kikwete kusema watoto wanaopta mimba shuleni ni viehele hele vyao, hazitaki kura za wafanyazi, ikitaka kula lazima uliwe (nadhani mwenzangu umeshaliwa tayari).

I am patient with stupidity but not with those who are proud of it.
 
Hivi badala ya kutafakari yaliyosemwa mnabaki kutukanana, hawa wote ni wanasiasa. Yani akiguswa Slaa basi hapa JF great thinkers wanapotea..

1.) Hivi umeshajiuliza hiyo elimu bora ya bure itapatikana vipi ?

2.) Umejifuza nini kutokana na hizi slogans: Elimu ni ufunguo wa maisha, kilimo kwanza, Kilimo ni uti wa mgongo, maisha bora kwa kila mtanzania. So what is new ?? Is Slaa above all this?

2.) Hivi hii slogan ya chagua mtu sio chama ina maanisha nini ? Ina maanisha chama ni kibovu lakini mtu ni mzuri ? Hivi unaweza kutenganisha chama na mgombea wake ? Mgombea anachaguliwa na chama au sio ?

3.) Wewe kama hukujua huyo ni mke wa mtu, leo unajua ni mke wa mtu, umefanya nini?

4.) gharama za kampeni zinatokana na uwezo wa chama. Sikumsikia Slaa akisema Mbowe asitumie Helicopter 2005 kuwafikia wapiga kura na badala yake ajenge shule...Sasa mabango ya CCM yanahusu nini??

Don't be fooled by politicians...
 
1. 8. Hakuna utawala wa sheria.(Nini kilimpata Shibuda alipoleta ghasia Mafia?)
ghasia Mafia? alileta ghasia huko mwaka gani? alileta ghasia au alituhumiwa kwamba alisababisha ghasia. tafadhali kama umetumwa kufanya kazi ifanye kikamilifu kwani kwa mwendo wako huo unaweza kuleta mashtaka halafu hujui unayemshataki na hujui kosa unalomtuhumu. Tafadhali uwe makini katika hoja zako na mifano yako?
 
:israel:Kwanini........And the truth doesnt exist.......

Back to Dr. Willibrord Slaa
Discussion Board
• Topic View
• Start New Topic
Topic: Exclusive:Slaa’s Best Lies (Ukiondoa za msimu za kampeni)
Reply to Topic
Displaying all 4 posts.
• Mohamed Muashkoki
1. Kuna wanafunzi zaidi ya 400 waliotia saini zao wakipendekeza mimi nigombee urais.( Ilikuwa ni siku ya pili tangu nichukue fomu ya kugombea ubunge wa jimbo la Karatu;sahihi 400 zilipatikanaje ndani ya masaa?Au kwa sababu alihojiwa na gazeti la Mwananchi?!)
2. Sikuwa na ndoto ya kugombea urais.( Kuna wanafunzi zaidi ya 400 waliotia saini zao wakipendekeza mimi nigombee urais;uliamua ndani ya siku mbili?,safi,kumbe hata kulipa madeni yote ndani ya siku 100 inwezekana)
3. Mwaka 2001 hadi 2008 Watanzania ambao ni masikini wa kutupwa wameongezeka kutoka 11.4 milioni hadi 12.9 milioni. (Ni 11.1 hadi 11.8,World Economic Report 2010)
4. Mfumo mbovu wa uendeshaji wa serikali unasababishwa na Katiba mbovu. (Maana yake serikali yoyote ikiwa madarakani na ikatenda vibaya isihojiwe mpaka katiba irekebishwe na kwamba yeye amekuwa sehemu ya Bunge linaloongozwa kwa katiba mbovu kwa miaka mingi na amekubali waliounda katiba hiyo toka mwaka 1977 si lolote)
5. Nitajenga mfumo mpya wa serikali kwa kubadilisha Katiba.(Katiba hushughulikiwa na Bunge au huandikwa na rais kama mahubiri kanisani?)
6. Hadi sasa imejenga shule za sekondari 300 tu.(Shule zilizojengwa ni 3,131 katika kata 2,575)
7. Ahadi kwenye bajeti zipo, lakini hazitekelezwi.(Hakuthubutu kuendelea kuelezea hapo,alijua ni uongo)
8. Hakuna utawala wa sheria.(Nini kilimpata Shibuda alipoleta ghasia Mafia?)
9. Mimi ni ‘zero tolerance’ kwa ufisadi. (Ruzuku ya Tshs.1 Bilioni kila mwaka toka serikalini kwenda CCBRT ina matatizo kila mwaka,huko yeye ni mwenyekiti;ameacha ukatibu mkuu wa Baraza la Maaskofu Tanzania akiwa na matatizo mengi ya kifedha na hata jimboni Mbulu)
10. Hakuna ‘level ground’ ya siasa hapa nchini.(Ni nani ambaye hakusaini sheria ya uchaguzi na ambaye hawajibiki akizivunja?)
11. Chadema ndicho chama mbadala.(Kwa uhalisia na vipimo gani?)
12. Sikujua kama Josephine ni mkwe wa mtu.
13. Kafulila ni mdudu sisimizi. (Lmao!)
14. I was cleared by the Vatican.( http://lineofauthority.com/,priesthood is never cleared)
15. Kikao cha kutengue uteuzi wa viongozi huwa ni cha kiofisi.(Kafulila alitimuliwa kihuni).
16. Tunawapenda Watanzania wote.(familia yake yenyewe ameshindwa kuiweka iishi pamoja kwa upendo).
3 minutes ago
• Adelina John Massawe Huyu mtu alishawahi kunitongoza jamani!!!!!!!Uwiiiiiiiiiiiiiii
2 minutes ago • Report
• Karim Asbawi Ade tushamshtukia,ni popo tun huyu.
about a minute ago • Report
• Mohamed Muashkoki CCBRT ni mwizi wa kutupwa huyu mtu.Namuone huruma sana.Hivi Wangwe si walimuua?
a few seconds ago • Edit Post • Delete Post
 
ghasia Mafia? alileta ghasia huko mwaka gani? alileta ghasia au alituhumiwa kwamba alisababisha ghasia. tafadhali kama umetumwa kufanya kazi ifanye kikamilifu kwani kwa mwendo wako huo unaweza kuleta mashtaka halafu hujui unayemshataki na hujui kosa unalomtuhumu. Tafadhali uwe makini katika hoja zako na mifano yako?

Halafu pia kumkamata mtu sio necessarilly kufuata utawala wa sheria. Unaweza kuwa unakamata watu kwa kuwabambikizia kesi, huo ndo utawala wa sheria?
 
Kama huna cha kuandika ni bora ukanywe mataputapu yako. Naona umeamka nayo. Hatutaki upupu kama wamekutuma waambie wamechelewa sana.

Sie twasonga mbele.
 
1. Kuna wanafunzi zaidi ya 400 waliotia saini zao wakipendekeza mimi nigombee urais.( Ilikuwa ni siku ya pili tangu nichukue fomu ya kugombea ubunge wa jimbo la Karatu;sahihi 400 zilipatikanaje ndani ya masaa?Au kwa sababu alihojiwa na gazeti la Mwananchi?!)
2. Sikuwa na ndoto ya kugombea urais.( Kuna wanafunzi zaidi ya 400 waliotia saini zao wakipendekeza mimi nigombee urais;uliamua ndani ya siku mbili?,safi,kumbe hata kulipa madeni yote ndani ya siku 100 inwezekana)
3. Mwaka 2001 hadi 2008 Watanzania ambao ni masikini wa kutupwa wameongezeka kutoka 11.4 milioni hadi 12.9 milioni. (Ni 11.1 hadi 11.8,World Economic Report 2010)
4. Mfumo mbovu wa uendeshaji wa serikali unasababishwa na Katiba mbovu. (Maana yake serikali yoyote ikiwa madarakani na ikatenda vibaya isihojiwe mpaka katiba irekebishwe na kwamba yeye amekuwa sehemu ya Bunge linaloongozwa kwa katiba mbovu kwa miaka mingi na amekubali waliounda katiba hiyo toka mwaka 1977 si lolote)
5. Nitajenga mfumo mpya wa serikali kwa kubadilisha Katiba.(Katiba hushughulikiwa na Bunge au huandikwa na rais kama mahubiri kanisani?)
6. Hadi sasa imejenga shule za sekondari 300 tu.(Shule zilizojengwa ni 3,131 katika kata 2,575)
7. Ahadi kwenye bajeti zipo, lakini hazitekelezwi.(Hakuthubutu kuendelea kuelezea hapo,alijua ni uongo)
8. Hakuna utawala wa sheria.(Nini kilimpata Shibuda alipoleta ghasia Mafia?)
9. Mimi ni ‘zero tolerance’ kwa ufisadi. (Ruzuku ya Tshs.1 Bilioni kila mwaka toka serikalini kwenda CCBRT ina matatizo kila mwaka,huko yeye ni mwenyekiti;ameacha ukatibu mkuu wa Baraza la Maaskofu Tanzania akiwa na matatizo mengi ya kifedha na hata jimboni Mbulu)
10. Hakuna ‘level ground’ ya siasa hapa nchini.(Ni nani ambaye hakusaini sheria ya uchaguzi na ambaye hawajibiki akizivunja?)
11. Chadema ndicho chama mbadala.(Kwa uhalisia na vipimo gani?)
12. Sikujua kama Josephine ni mkwe wa mtu.
13. Kafulila ni mdudu sisimizi. (Lmao!)
14. I was cleared by the Vatican.( http://lineofauthority.com/,priesthood is never cleared)
15. Kikao cha kutengue uteuzi wa viongozi huwa ni cha kiofisi.(Kafulila alitimuliwa kihuni).
16. Tunawapenda Watanzania wote.(familia yake yenyewe ameshindwa kuiweka iishi pamoja kwa upendo).

Safi sana,safi kabisa,Imekaa vizuri kweli kweli
 
Hivi badala ya kutafakari yaliyosemwa mnabaki kutukanana, hawa wote ni wanasiasa. Yani akiguswa Slaa basi hapa JF great thinkers wanapotea..

1.) Hivi umeshajiuliza hiyo elimu bora ya bure itapatikana vipi ?

2.) Umejifuza nini kutokana na hizi slogans: Elimu ni ufunguo wa maisha, kilimo kwanza, Kilimo ni uti wa mgongo, maisha bora kwa kila mtanzania. So what is new ?? Is Slaa above all this?

2.) Hivi hii slogan ya chagua mtu sio chama ina maanisha nini ? Ina maanisha chama ni kibovu lakini mtu ni mzuri ? Hivi unaweza kutenganisha chama na mgombea wake ? Mgombea anachaguliwa na chama au sio ?

3.) Wewe kama hukujua huyo ni mke wa mtu, leo unajua ni mke wa mtu, umefanya nini?

4.) gharama za kampeni zinatokana na uwezo wa chama. Sikumsikia Slaa akisema Mbowe asitumie Helicopter 2005 kuwafikia wapiga kura na badala yake ajenge shule...Sasa mabango ya CCM yanahusu nini??

Don't be fooled by politicians...

Thak you very much. Objectivity has limits to even the most respected great thinkers. Wamebeba za kuambiwa hawachanganyi na za kwao.
 
NNI BINGWA WA UONGO KATI YA WAGOMBEA URAIS 2010?lINGANISHA UPATA JIBU
Uchaguzi 2010 Ahadi za wagombea urais Send to a friend
Friday, 15 October 2010 12:30
0
digg

Mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Jakaya Mrisho Kikwete

Ahadi za Kikwete:

1. Kujenga reli mpya kutoka Dar es Salaam mpaka mikoa ya Kanda ya ziwa-Nzega, Tabora

Mkoa wa Tanga kuwa Jiji la Viwanda- Tanga mjini
Tabora kutumia maji ya Ziwa Victoria-Igunga
Kulipa madeni ya chama cha Ushirika mkoa wa Shinyanga (SHIRECU)- Shinyanga
Kumaliza migogoro ya Ardhi nchini- Dodoma
Wakulima kuacha kutumia jembe la mkono-Dodoma mjini
Kuwapatia trekta wakulima -Kata ya Mrijo, Dodoma
Wananchi kutoondolewa kwenye Ranchi ya Misenyi-Kagera
Kujenga Uwanja wa Ndege Misenyi-Kagera
Kupanua Uwanja wa Ndege Bukoba-Bukoba Mjini
Kujenga uwanja wa ndege mkubwa Kigoma - Kigoma Mjini
Mtukula kupatiwa umeme kutoka Uganda- Kagera
Mikoa ya Kagera, Kigoma, Lindi, Rukwa na Ruvuma kuunganishwa katika gridi ya taifa ya umeme- Kagera
Kuimarisha Takukuru kwa miaka mitatu-Kagera
Hukumu kwa waliopatikana na hati ya kuua albino- Mbeya
Kununua meli kubwa kuliko MV Bukoba-Kagera
Kuanzisha benki ndogondogo kwa ajili ya wajasiriamali
Serikali kuvisaidia vyama vya ushirika-Mwanza
Kuimarisha usalama Ziwa Victoria na Ziwa Tanganyika kwa kupeleka kikosi maalum chenye vifaa kupambana na wahalifu-Mwanza
Wilaya ya Geita kuwa hadhi ya mkoa Januari mwakani- Geita
Kulinda muungano kwa nguvu zote-Pemba
Kuwajengea nyumba waathirika wa mafuriko Kilosa-Morogoro
Kununua meli mpya kubwa Ziwa Nyasa-Mbeya mjini
Kujenga bandari Kasanga –Rukwa
Kumaliza tatizo la walimu miaka mitano ijayo - Songea
Kufufua mgodi wa makaa ya mawe Kiwira -Mbeya
Kuzuia hatari ya kisiwa cha Pangani kuzama- Tanga
Kununua bajaji 400 kwa ajili ya kubeba wajawazito hasa vijijini- Iringa
Kujenga barabara yenye kiwango cha lami kutoka Same mpaka Kisiwani –Kihurio na kuiunganisha na barabara kuu ya Moshi -Dar es salaam- Same mkoani Kilimanjaro
Kumaliza tatizo la maji katika wilaya ya Same-Same Mjini
Kuboresha barabara za Igunga -Tabora
Kusambaza walimu 16,000 katika shule za sekondari zenye upungufu makubwa wa walimu- Kisesa Magu
Kununua vyandarua viwili kwa kila kaya- Mbeya Mjini
Kuzipandisha hadhi hospitali maalumu saba nchini kuwa za rufaa ili kuipunguzia mzigo Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MHN)-Hydom Manyara
Kulinda amani nchini kwa kuzuia chokochoko za kidini, kikabila na kisiasa- Musoma
Kulinda haki za walemavu- Makete
Kujenga baabara ya Njombe- Makete kwa kiwango cha lami,urefu wa kilomita 109- Iringa mjini
Kujenga barabara Musoma–Mto wa Mbu Arusha-Arusha
Kuanzisha jimbo la Ulyankulu- Shinyanga Mjini
Kujenga barabara ya lami Manyoni-Kigoma– Kaliua,Tabora
Kukarabati barabara ya Arusha Moshi-Arusha Mjini
Kuboresha barabara ya Handeni, Kondoa,mpaka Singida-Dodoma
Kuwafidia wanakijiji ng’ombe waliopotea wakati wa ukame mwaka 2009- Longido 45.Vijiji vyote vilivyoko kilomita 15 kutoka kwenye bomba kuu la mradi mkuu wa maji wa Ziwa Victoria-Shinyanga-Kahama kuunganishiwa maji - Shinyanga
Tatizo la umeme kufikia kikomo Novemba mwaka huu mkoani Arusha –Arusha mjini
Kukopesha wavuvi zana za kilimo-Busekera, Wilaya ya Musoma, .
Kuwapatia maji wakazi wa Wilaya ya Longido- Longido
Kujenga barabara ya lami kupitia pembezoni mwa Hifadhi ya Taifa ya Seregenti – Ngorongoro
Utekelezaji wa mpango wa maendeleo ya kilimo kuwasaidia wafugaji kuweza kupata na kutunza mifugo yao vizuri- Mbulu mkoani Manyara
Kusambaza maji nchi nzima-Babati vijijini
Kusambaza umeme, utoaji wa huduma za afya, na uboreshaji wa kilimo cha umwagiliaji na utoaji ruzuku kwa wakulima. mwaka 2010-2015-Babati vijijini Kuongeza mara tatu idadi ya wananchi wanaonufaika na ruzuku ya pembejeo za kilimo kwa mfumo wa vocha.-Iringa
Kuhakikisha Isimani inapata maji ya uhakika- Iringa
Kuiwekea lami barabara inayokwenda katika Hifadhi ya Taifa ya Ruaha, ambayo ndiyo hifadhi kubwa kuliko zote Tanzania-Iringa
Kulinda usalama wa wananchi kwa ujumla ili kudumisha amani na sifa ya nchi-Ifunda
kutokomeza malaria 2015-Bunda,mkoa wa Mara
kuwapa wanawake nafasi zaidi-Kilolo ,Iringa
ahadi kuisadia Zanzibar kuendeleza miradi mbalimbali ya kijamii-Kibandamaiti Mjini Zanzibar
Kuipandisha hadhi hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar kuwa ya rufaa-Kabandamaiti mjini Zanzibar
Kuisaidia Zanzibar kila panapohitajika msaada-Kibandamaiti
Serikali kujenga upya bandari ya Mbambabay-Ruvuma
Ununuzi wa Meli mpya yenye uwezo wa kubeba tani 400-Mbambabay Ruvuma
kufufua chama kikuu cha ushirika cha wakulima wa Mbinga(MBICU) –Ruvuma
Ahadi Rais wa Marekani Barack Obama kuimwagia misaada Tanzania –Ruvuma
Ahadi hakutakuwa na umwagaji wa damu baada ya uchaguzi-Dar es Salaam
Mtwara kuwa mji wa Viwanda –Mtwara
Ahadi ujenzi wa kwanda cha dawa ya kuua viluilui vya mbu-Kibaha
Hospitali ya Tumbi kuwa ya mkoa-Kibaha
Halmashauri ya manispaa ya Kibaha kutenga eneo maalumu la viwanda -Kibaha

Mgombea urais kwa tiketi ya chadema,Dk willibrod Slaa

Ahadi za Dk Slaa:
1.Kujenga nchi isiyo na ufisadi
2.Kufufua Tanganyika ili irejee mezani kujadili muungano na Zanzibar
3.Kufufua uchumi wa nchi kwa kutumia rasilimali zilizopo
4.Kukata asilimia 20 ya mshahara wa rais
5.Kupunguza mishahara ya wabunge kwa asilimia 15
6. Kuweka Mwenge wa Uhuru Jumba la Makumbusho
7. Kutoa huduma bora za afya bure
8. kufuta kodi ya vifaa vya ujenzi
9. Kuwalipa wazee wa EAC fedha zao ndani ya siku 100
10. Kubana matuzi Ikula (Yuko tayari kula mihogo

)

Ahadi za Profesa Lipumba na Maalimu Seif:
1.Elimu ya bure kuanzia msingi hadi chuo kikuu
2.Kubana matumizi kwa kupunguza ukubwa wa baraza la mawaziri
3.Kuunda serikali shirikishi
4.Kusimamia rasilimali
5.Kuimarisha miundombinu
6. Kusimamia na kuboresha afya
7. Kuboresha kilimo, viwanda na uwekezaji
8. Kurudisha chakula cha bure mahospitalini
Maalimu Seif Sharif Hamad
1. Zanzibar kuwa kama Hong Kong – Unguja
2.Kuendeleza mashamba ya Karume- Kibanda maiti
3. Kubadilisha katiba na kuunda katiba mpya ya muungano na Zanzibar- Pemba
4.Kubadilisha mfumo wa uteuzi makamishna wa tume ya uchaguzi Zanzibar (ZEC)- Unguja
5. Kuwaunganisha wazanzibari ili kujenga umoja, udugu na ushirikiano-Pemba
6. Kuwasilisha hoja ya kubadili katiba ya Zanzibar na ya Muungano-Viwanja vya Kibanda Maiti
7. Kuondoa bajeti ya ZEC isiwe chini ya waziri kiongozi na badala yake kuwa inajitegemea yenyewe- Pemba
8. Kuondoa ulazima wa mwenyekiti wa tume kuwa jaji na badala yake awe mtu anayejua sheria-Unguja
9. Serikali kuundwa na vyama vyote vilivyopata ridhaa ya kuchaguliwa na wananchi- Unguja
10.Kujenga jamii yenye maelewano na umoja -Pemba
11.Kutokochagua kiongozi kwa urafiki bali kwa uwajibikaji na uadilifu -Unguja na pemba
12.Kudhibiti vyombo vya dola vinavyofanya kazi kwa matakwa ya watu binafsi -Kibanda maiti
13.Kukomesha rushwa-Mkanyageni Mkoa wa Kusini Pemba
14.Kuhakikisha ununuzi wa zabuni unakuwa wazi na wananchi kuruhusiwa kuhoji kuhusu zabuni-Jimbo la ole Pemba
15.Kuongeza kima cha chini cha mshahara hadi Sh150,000-Mkanyageni Pemba
16.Kubadili vikosi vyote vya usalama na kulipwa mishahara kima cha chini kulipwa Sh180,000-Chakechake Pemba
17.Kubadilisha kikosi cha KMKM kuwa kikosi cha mwambao-Wawi
18.Wazee kupanda daladala bure na wale wasiokuwa na watoto kulelewa bure-Majimbo ya Chakechake
19.Kufuta michango yote ya shule za msingi na sekondari, kila mwanafunzi kuwa na kompyuta na badala ya kuishia darasa la saba sasa kuishia kidato cha sita-Hoteli ya Bwawani
20.Kutoa kitambulisho cha kila Uzanzibari na kufuta cha Mzanzibari mkaazi- Uwanja wa Hospitali ya Mnazi Mmoja
21.Kila mzanzibar kupata pasi ya kusafiria- Hoteli ya bwawani Zanzibar
22.Kuanzisha shirika la ndege Zanzibar -Viwanja vya Kibanda maiti
23.Kupandisha uchumi wa Zanzibar kutoka 6.8 hadi 15 kila mwaka kwa Zanzibar -Unguja
24.Kutoa uhuru zaidi kwa vyombo vya habari pamoja na kusaidia uanzishwaji wa Baraza la Habari Zanzibar-Unguja na Pemba
25. Kuweka hadharani nambari yake ya simu - Viwanja vya Kibanda miti
26. Kubadili sheria ya uwekezwaji-Hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar
27.Kila mwanafunzi kuwa na komputa yake-Viwanja vya Kibanda maiti
28.Akiwa rais hata waziri au mkewe atafungwa akiwa ametenda kosa-Viwanja vya Tibirizi Kisiwani Pemba
29.Kujenga bandari ya Mkokoto na Pemba ili kuweka usafiri wa haraka wa boti ziendazo kasi-Tibirizi Kisiwani Pemba
30. Ahadi kudhibiti kuvuja kwa mitihani- Unguja

Dk Mohammed Shein
1) Kuboresha maisha ya wavuvi-Chakechake Pemba
2) Kusomesha wafanyakazi-Mnazi mmoja
3) Kipaumbele katika elimu -Unguja na Pemba
4) Kipaumbele katika afya-Makombeni Mkoa wa Kusini Pemba.
5) Kuulinda Muungano- Wawi kisiwani Pemba
6)Kuleta mabadiliko Zanzibar-Pemba na Unguja
7)Kuboresha Bandari ya Zanzibar kwa kuijenga upya-Kibandamaiti
8)Kuboresha Maendeleo Zanzibar- Jimbo la Wete, Pemba
9.Ujenzi wa maktaba kubwa na nzuri Kisiwani Pemba- Mtambwe
10.Kutokomeza ugonjwa wa kipindupindu Zanzibar- Kijiji cha Kambini Mchangamdogo
11.Kuimarisha miundombinu Kisiwa cha Pemba- Kijiji cha Makombeni Mkoa wa Kusini Pemba
12.Kuhamasisha wawekezaji kuwekeza Pemba katika miradi mbalimbali-Makombeni Mkoa wa Kusini Pemba.
13.Ahadi eneo la Micheweni kuwa maeneo huru ya uchumi- Micheweni Kaskakzini Pemba
14. Kumaliza matatizo ya maji mkoani -Mkoani
15..Kujenga Bandari ya kisasa katika eneo la Mpiga Duri Unguja- Mkoani
16.Kuiamrisha makazi bora kwa Wazanzibar- Mkoani
1. Kuna wanafunzi zaidi ya 400 waliotia saini zao wakipendekeza mimi nigombee urais.( Ilikuwa ni siku ya pili tangu nichukue fomu ya kugombea ubunge wa jimbo la Karatu;sahihi 400 zilipatikanaje ndani ya masaa?Au kwa sababu alihojiwa na gazeti la Mwananchi?!)
2. Sikuwa na ndoto ya kugombea urais.( Kuna wanafunzi zaidi ya 400 waliotia saini zao wakipendekeza mimi nigombee urais;uliamua ndani ya siku mbili?,safi,kumbe hata kulipa madeni yote ndani ya siku 100 inwezekana)
3. Mwaka 2001 hadi 2008 Watanzania ambao ni masikini wa kutupwa wameongezeka kutoka 11.4 milioni hadi 12.9 milioni. (Ni 11.1 hadi 11.8,World Economic Report 2010)
4. Mfumo mbovu wa uendeshaji wa serikali unasababishwa na Katiba mbovu. (Maana yake serikali yoyote ikiwa madarakani na ikatenda vibaya isihojiwe mpaka katiba irekebishwe na kwamba yeye amekuwa sehemu ya Bunge linaloongozwa kwa katiba mbovu kwa miaka mingi na amekubali waliounda katiba hiyo toka mwaka 1977 si lolote)
5. Nitajenga mfumo mpya wa serikali kwa kubadilisha Katiba.(Katiba hushughulikiwa na Bunge au huandikwa na rais kama mahubiri kanisani?)
6. Hadi sasa imejenga shule za sekondari 300 tu.(Shule zilizojengwa ni 3,131 katika kata 2,575)
7. Ahadi kwenye bajeti zipo, lakini hazitekelezwi.(Hakuthubutu kuendelea kuelezea hapo,alijua ni uongo)
8. Hakuna utawala wa sheria.(Nini kilimpata Shibuda alipoleta ghasia Mafia?)
9. Mimi ni ‘zero tolerance’ kwa ufisadi. (Ruzuku ya Tshs.1 Bilioni kila mwaka toka serikalini kwenda CCBRT ina matatizo kila mwaka,huko yeye ni mwenyekiti;ameacha ukatibu mkuu wa Baraza la Maaskofu Tanzania akiwa na matatizo mengi ya kifedha na hata jimboni Mbulu)
10. Hakuna ‘level ground’ ya siasa hapa nchini.(Ni nani ambaye hakusaini sheria ya uchaguzi na ambaye hawajibiki akizivunja?)
11. Chadema ndicho chama mbadala.(Kwa uhalisia na vipimo gani?)
12. Sikujua kama Josephine ni mkwe wa mtu.
13. Kafulila ni mdudu sisimizi. (Lmao!)
14. I was cleared by the Vatican.( http://lineofauthority.com/,priesthood is never cleared)
15. Kikao cha kutengue uteuzi wa viongozi huwa ni cha kiofisi.(Kafulila alitimuliwa kihuni).
16. Tunawapenda Watanzania wote.(familia yake yenyewe ameshindwa kuiweka iishi pamoja kwa upendo).
 
unapoteza tu muda ndugu yangu. Siku zenyewe zimebaki tatu tu, na wala hakuna kinachoweza kubadilika hivi sasa. Kama slaa ni wa kushinda atashinda tu na kama ni wa kushindwa atashindwa tu. Propaganda zenu za kihuni dk hizi za mwisho hazitasaidia kitu.

wewe si siku zote unasema slaa lazima ashinde? Sasa haya ya kushindwa yanatoka wapi? Ama kweli wengi mtachanganyikiwa
 
hata kama ni mwongo...bado uongo wake haufikii machungu yanayotokana na serikali ya kifisadi na kidhalimu ya CCM

Slaa chaguo la Watanzania 2010.......chaguo la mafisadi linajulikana
 
If you believe in yourself you dont need to make the first four replies for your own post!
 
Hata kama Dr Slaa "atashindwa", Tanzania na Watanzania tuko ngazi nyingine kisiasa.
 
Hata kama Dr Slaa "atashindwa", Tanzania na Watanzania tuko ngazi nyingine kisiasa.

Na hilo ndilo funzo ambalo wale wote wanaodhani siasa za mwaka 1995 na za leo ni zile zile na watu ni walewale. Wamekosea sana. Wamepotea
.
 
Kwanini,

Ukiwa kama mchambuzi ''makini'', naomba utupatie angalau 5 exclusive LIES by Bwana. Jakaya M. Kikwete. Failure to do that itakuwa na maana moja tu.

Kuna mtu mmoja hapo juu kasema huenda ''umeshaliwa pia''. Mi simo!
 
hata kama ni mwongo...bado uongo wake haufikii machungu yanayotokana na serikali ya kifisadi na kidhalimu ya CCM

Slaa chaguo la Watanzania 2010.......chaguo la mafisadi linajulikana

sure nadhani mtoa maada alitakiwa kuangalia hii simple rule

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom