Majibu:
(1) Kuhusu hilo swala la yeye kugombea hata Jamii Forum lilipendekezwa kwahiyo siwezi shangaa Wanafunzi washindwe kumpendekeza umejaribu kufikiria uwezekano huo katika vyuo kama UDSM, UDOM, SUA or MZUMBE? yaani hiyo namba 400 mbona realistic! kuna mitandao siku hizi a matter of petitioning a motion and the rest follow the path!
(2) kwahiyo unabisha ukweli kwamba alishachukuwa fomu za Ubunge nathani Kiravu anaweza kukuthibithishia hilo! hapa sio sehemu ya udaku
(3) Ina maana wewe unachoamini wewe ni World Economic Report 2010 tu? je umeangalia IFM report au World Bank Report? au unabisha kutokana na reference zako unazopenda wewe tu? try to have constructive arguments!
(4) Ufinyu wa uelewa wako ndo unakupelekea kuelewa hivyo!
(5) Nasititiza akiwa kama Rais Wa Jamhuri yeye ndo huanzisha mchakato, hupeleka Bungeni na kwa vile atakuwa na wabunge wengi wa Upinzani (uups wa serikali) watalipitisha na atamwaga saini kuidhinisha! technical yeye ndo ataibadilisha akiwa na support ya Wabunge wa Jamhuri! Uache umbumbumbu!
(6) Hili ni swala la itikadi sasa inategemea na maana kamili ya shule kama zizi laweza kuwa shule then hoja yako yaweza pita! na pia kama wananchi wamechangishwa ni vp serikali iseme imejenga na sio Wananchi! Try to be logical!
(7) Unabisha na hili; Muulize Kikwete hili yakhe?
(8) Huu ni "ushangupapa" hauna nafasi kwenye Home of Great Thinkers
(9) Madai kama haya yanadhibitika na watu wa auditing (Independent) sio vijiweni au ofisi za CCM!
(10) Kikwete na CCM wanapitiliza muda wa kampeni, wanatumia magari ya serikali with forged plate numbers, wamefuja hela za serikali kutengeneza mabango, pia kulipia gharama za Mkewe na Ridhiwani na zaidi wanatumia polisi kukandamiza Upinzani!
(11) sera safi na kinakubalika hakina ufedhuli na ufisadi
(12) Mkwe wa Mtu hana alama Usoni
(13) heshima katika uongozi wowote ni Muhimu na kama alileta fujo then he deserved what he got na hata kama atashinda Uchaguzi time will tell maana siasa zinahitaji maelewano among viongozi
(14) Kuna kitu kinaitwa ex-communication nathani fanya uchunguzi ujue what it is na pili hiyo link uliyotoa hata Shamte anaweza bandika!
(15) Ni mawazo yako hayo (alisimamishwa kwa kiburi akajiondoa chamani na sasa analipwa na CCM kama Mbatia)
(16) Heri wewe babaako na mamako wanakuelea kiupendo ila nachoweza sema hamna mtoto wa Slaa aliyeshindwa kwenda shule! Mambo binafsi hayo hayaleti mkate mezani mwako! leta upuuzi mwingine...