Mzizi wa Mbuyu
JF-Expert Member
- May 15, 2009
- 7,472
- 7,275
Unamzungumzia nani vile Padre mwambie akatimize nadhiri yake kwanza kanisa Katoliki afu ndo aje uraiani,la sivyo ataishia kunawa wenzake wanakula unwabwa!
Wewe bado kidogo tu umuabudu Dr.Slaa hapa unamtoa kwenye ubinadamu una muweka kundi la Malaika.Yule ni kama maji,usimuoga utamnywa!!halafu kwa sasa Dr.Slaa sio mtu kama mtu tu,ni mtu aliye kwenye mioyo ya watu.Kum-watch Dr.Slaa ni kuwapa wananchi maendeleo na haki zao
..swali langu ni kwa boss niliye m quote si kwako.....Hayo maigizo unayosema kuhusu UKAWA siyaoni bali naona maigizo wanayofanya ccm....Jibu lako hapa halizungumzii hoja yangu.....
Wewe bado kidogo tu umuabudu Dr.Slaa hapa unamtoa kwenye ubinadamu una muweka kundi la Malaika.
Sina lengo la kupinga but kuna kitu hakizungumzwi wala kutazamwa sana
idadi ya kura alizopata DR Slaa......mwaka 2010....
watu wanasahau kuna watanzania wengi zaidi hawakupiga kura kabisa..
why hawakupiga kura na walijiandikisha....hilo swali lina maana kuubwa
walijiandikisha milioni 22 waliopiga kura hawakufika hata milioni 12
waliompigia DR Slaa hawakufka milion 6...
kuna kitu hapo kikubwa
Watakuwa wanakulipa vizuri kwa hii kazi ya kutumika kama attack dog. You're remotely controlled by your Masters.
NI HEKIMA KWA KIPINDI PIA KUANGALIA NI JINSI UKAWA ITALINDA KURA ZAKE /ii
Dr. Slaa ni mwanamapinduzi aliyepigana na ccm kwa miaka 20 sasa na akiwashinda kwa facts, yupo chama ambacho graph yake kila siku inapanda ukiangalia kuanzia uchaguzi wa mwaka 1995-2010 na hata uchaguzi wa serikali za mitaa Kariba yake kisiasa ni kubwa mno ukilinganisha na utitiri wa wanaccm wanaojikokota sasa.
Kura mwaka huu italindwa kwa gharam ya damu mkuu wala usiogope watu wameshajifunza tayari kuwabana ccm. Kila kituo lazima kuwa na mawakala angalau 3 wakilinda kura za diwani mbunge na rais kwenye kituo kimoja na ambao hawajuani na hii itafanya akitokea msaliti hataweza kufanikisha azima yake.
Ha ha ha ndo maana nasema viroba ni vibaya jamani ona sasa huyu anawaza kumwaga damu teh teh, na huyu ni mzembe tu siku ya matokeo kutangazwa atakua anakula sembe nyumbani kwake!Kama kisheria unaruhusiwa kulinda kura utalinda!
Shikamoo Mzee Tupatupa
kumbe ni huyu ? asante kwa kumuumbua mkuu .Naona umeamua kuja ID nyingine lakini ajenda ni ile ile,kumshambulia DR SLAA popote utakapoliona jina lake.Vipi gesi imetoka au haijatoka?
Wewe kibaka hiyo ni hofu tu maana umezoea vya kushonga wewe na wenzako hamjui kutumia halali.
Akija Dr Slaa anakuja kukata hiyo mirija inayowafanya mnyonye watanzania
Teknolojia ya kutengeneza gongo kisheria nini?
hivi hili la nadhiri sisi wapagani, waislamu, walokole na mabudha yanatuhusu nini?