Slaa tishio CCM Uchaguzi 2015


Mkuu, yawezekana kura za ambao hawakupiga ziliyeyuka mahali, siamini kama watu wengi kiasi hicho hawakupiga kura.

Ndio maana mimi sielewi ukimya wa wapinzani kuhusu kuundwa upya Tume ya Uchaguzi na kuifanya iwe huru. Huyo Jaji Lubuva na NEC yake wanapelekeshwa pelekeshwa na CCM.

Vv
 
Ile hofu waliyonayo wapambe wa Slaa na hii kampeni walioianza ya kumpa sifa zisizo zake ni ishara tosha kuwa sasa hata Mbowe anafikiria upya.
 

Kila kitu si wanasingizia kuhujumiwa, na UKAWA wameanza kuvutana wameshaanza kuisingizia CCM na nikuambie tu CCM wana hasira sana na UKAWA na this Oktoba wataipa kipigo cha mwizi na kuitawala milele UKAWA wanafanya maigizo tu wote wale ni watumishi watiifu wa CCM
 
Ile hofu waliyonayo wapambe wa Slaa na hii kampeni walioianza ya kumpa sifa zisizo zake ni ishara tosha kuwa sasa hata Mbowe anafikiria upya.

Mafuta yameanza kuwa mengi ili wakianza kukaangana wasiombe msaada kwingine teh teh teh
 
There is no other way...Dr.Slaa is the next president,he is loyal and influential,a man with extraordinanary power granted by holy spirit.

There is no other way CCM will fall and UKAWA will prevail to the minds and soul of Tanzanians.

Mkuu, Tume ya Uchaguzi inao ubavu wa kumtangaza upinzani kushinda Urais?

Mimi siamini hii Tume ya Lubuva, naona iko prone sana kuchezea matokeo ya Uchaguzi. Kwa ufupi haina uwezo wala nyenzo za kufanikisha Uchaguzi kwa kiwango cha Uchaguzi huru na wa haki; Tume ya Uchaguzi kwa kiasi kikubwa inawategemea Wakurugenzi wa Halmashauri ambao wanatekeleza amri za Watawala, DEDs tu naona jinsi walivyoviruga chaguzi za Serikali za mitaa mwaka jana. Nimeambiwa wale walioshindwa kuhakikisha wagombea wa CCM wanashinda walitakiwa kujieleza.

Vv
 
tupa tupa umeanza kuona hata kwenye giza ww kiboko maana nduguzo ccm hata mchana hawalioni la nguvu za dk Slaa labda watakwambia babu huyo basiii
 

History will prove you wrong this time around.
 
Duh, ulikutana wapi na huyo Mungu akakwambia...fulani kaniasi!!?

Dr Slaa ndie kiboko ya CCM ....na sasa hivi kaacha vichwa kibao vya kumrithi CDM!!

Sikio la kufa haliskiindawa nenda kamuulize wkati anaweka nadhiri kuwa Padre aliweka kwa nini?na hujui hilo afu akaingia mitini hata hajamtumikia Mungu sawasawa na nadhiri aliyoweka anataka kuja kwa wanadamu!
 
Mzee Tupatupa habari ya huko kwenu Lumumba?

Umekuwa mwanasiasa shabiki wa CCM unayeishi katika imani za wanaTANU kusema kweli daima. Hata kama akina Nape huwa hawafurahishwi...

Wananchi wa Sumbawanga wakimsindikiza Dk. Slaa.

Mkuu Makene, huo umati unaomsindikiza Dr wa Ukweli haukupewa kila mtu laki na ishirini kweli? Tehe tehe!
 
Sikio la kufa haliskiindawa nenda kamuulize wkati anaweka nadhiri kuwa Padre aliweka kwa nini?na hujui hilo afu akaingia mitini hata hajamtumikia Mungu sawasawa na nadhiri aliyoweka anataka kuja kwa wanadamu!

Mulize Mr dahifu alivyokuwa anahenyeshwa na Dr Slaa..... Dhaifu alichanganyikiwa akaahidi hadi garimoshi la umeme kwenda Mwanza!!! Dr Slaa ndie mpango mzima...!!

Nyie mabibi wa CCM subirini bwana zenu wawatupie makombo..mle mshibe!!
 
Mulize Mr dahifu alivyokuwa anahenyeshwa na Dr Slaa..... Dhaifu alichanganyikiwa akaahidi hadi garimoshi la umeme kwenda Mwanza!!! Dr Slaa ndie mpango mzima...!!

Nyie mabibi wa CCM subirini bwana zenu wawatupie makombo..mle mshibe!!

Unamzungumzia nani vile Padre mwambie akatimize nadhiri yake kwanza kanisa Katoliki afu ndo aje uraiani,la sivyo ataishia kunawa wenzake wanakula unwabwa!
 
..swali langu ni kwa boss niliye m quote si kwako.....Hayo maigizo unayosema kuhusu UKAWA siyaoni bali naona maigizo wanayofanya ccm....Jibu lako hapa halizungumzii hoja yangu.....
 
Yule ni kama maji,usimuoga utamnywa!!halafu kwa sasa Dr.Slaa sio mtu kama mtu tu,ni mtu aliye kwenye mioyo ya watu.Kum-watch Dr.Slaa ni kuwapa wananchi maendeleo na haki zao

Mimi ni ccm damu damu na ni kiongozi wa kata ccm lakini Dr Slaa ni mtu sahihi kuwa Raisi.Hapa tulipo Slaa ataweza kutusogeza mbele
 
taifa letu linahangaika kuzuia baadhi ya wanyama ambao ni big five kutoweka....linasahau kuna mwingine mhm sana wa kumlinda...Dr silaa ni hazna kubwq sna na duniani wqnatoweka kwa kas xn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…