Slaa tishio CCM Uchaguzi 2015

Kiukweli kama nchi tunataka kupiga hatua...Dr Slaa ..ndie mtu tunaweza kumwamini kuwa anaweza kutufikisha huko....anaupeo mkubwa, anaufahamu mkubwa, ana akili nyingi sana, ana busara mnoo, ni mkweli, anaogopwa na mafisadi!! n.k
 

Na waliompigia Kikwete nao idadi yao haijulikani.
Hakika kuna kitu kikubwa hapo.
 

Mzee Tupatupa habari ya huko kwenu Lumumba?

Umekuwa mwanasiasa shabiki wa CCM unayeishi katika imani za wanaTANU kusema kweli daima. Hata kama akina Nape huwa hawafurahishwi...

Wananchi wa Sumbawanga wakimsindikiza Dk. Slaa.

Leo team Buguruni imekuja kumnadi Padre Silaa aliyeasi na kukengeuka utumishi na wito wake huyu hakika akipewa nchi atakengeuka tu wala haaminiki, Alipewa jukumu na Mungu la kuchunga kondoo akaasi, je wanadamu wakimpa jukumu la kuongoza si ndio ata double asi, Ajipange upya na anatumika kama mtaji wa CCM kukamilisha ratiba ya ushiriki wa vyama vingi kwenye uchaguzi mkuu! The same applied 2010 is going to happen!
 

Waliandikishwa kama milioni 16 hivi.
 
Kiukweli kama nchi tunataka kupiga hatua...Dr Slaa ..ndie mtu tunaweza kumwamini kuwa anaweza kutufikisha huko....anaupeo mkubwa, anaufahamu mkubwa, ana akili nyingi sana, ana busara mnoo, ni mkweli, anaogopwa na mafisadi!! n.k

Ulichoongea ni ukweli mtupu mkuu!

Kama nchi hii inataka kupiga hatua kiuchumi, hakuna namna zaidi ya kuiondoa CCM madarakani. No way CCM candidate can change this country. Tatizo la CCM ni mfumo ambao ni very corrupt ambao hauwezi kuondolea na the likes ya akina Makongoro,,
 
Hayo ni maneno lakini Vitendo ni tofauti kabisa, kwa nini Watu wanazungumzia kwamba mara hii ni zamu ya Wakristo kuongoza nchi hii ina maana hayo yanasemwa kwa Bahati mbaya?

Nadhani tujipe muda baada ya Oktoba tutaona CCM watakuwa wamempata rais gani,Tanzania hatuendeshi kwa itikadi za dini na wala hiki sio kigezo kabisa cha kumpata rais wa nchi!
 
Kiukweli kama nchi tunataka kupiga hatua...Dr Slaa ..ndie mtu tunaweza kumwamini kuwa anaweza kutufikisha huko....anaupeo mkubwa, anaufahamu mkubwa, ana akili nyingi sana, ana busara mnoo, ni mkweli, anaogopwa na mafisadi!! n.k

Atuambie kwa nini alimuasi Mungu, Majukumu aliyopewa aliyakimbia teh teh teh leo apewe uprezida atatuacha solemba huyu!
 
Hii miaka mitano tuliyoingia hasara ungekuta leo hii cement na mabati ni bei Chee, Leo hii tusingeijua ESCROW, Leo hii tembo wetu wangekuwa salama, Leo hii foleni Dar es Salaam na shida ya maji ingekuwa historia, Wasio na ajira wangepungua badala ya kuongezeka... Dr tunakuhitaji wewe ndiye yule uliyetumwa kututoa utumwani ni muda sasa wa kutupeleka nchi ya maziwa na Asali.
 
Hayo ni maneno lakini Vitendo ni tofauti kabisa, kwa nini Watu wanazungumzia kwamba mara hii ni zamu ya Wakristo kuongoza nchi hii ina maana hayo yanasemwa kwa Bahati mbaya?

Suala la dini sio issue kwangu, ninachokiangali awe na sifa kwa wtanzania na asiwe mwongo na mzushi kama huyu babu!
 

Asiyefanya kazi hana haki ya kula, pole kwa kuendelwa kukaa utumwani, na uko peke yako huko kwa uvivu wako wa kufanya kazi!
 


Ilikuwa ili ionekane JK ameshinda ilikuwa lazima kura zichezewe na kuonekana chache kuwa watu walioiga
kura ni wachache,haiwezekani eti jumla ya kura za ubunge ni nyingi mara dufu ya kura za urais,hivi inakuingia
akilini mtu anweza kuchagua mbunge akaacha kuchagua rais??
 
We mzee unakunywaga gongo sa 11 ndo unaamka....
 

Sidhani kama Dr Slaa alipata hizo kura unazozisema, Nina amini kabisa 2010 Dr Slaa alipata kura nyingi kuliko Kikwete. Tunachotakiwa kujiuliza je NEC watatoa majibu kama yalivyo au watayachakachua kama 2010?
 
Weka ushahidi hapa na takwimu za Ubunge na urais zikiwa na logo ya NEC acha kulewa mapema wewe!
 
Naona umeamua kuja ID nyingine lakini ajenda ni ile ile,kumshambulia DR SLAA popote utakapoliona jina lake.Vipi gesi imetoka au haijatoka?

Kibaraka unasemaje na wewe kumbe uko kwenye msafara wa mamba!Pole Aisee Mtumishi wa Mungu aliyemwasi Mungu anataka kuwatumikia wanadamu teh teh kama Mungu kamkimbia je wanadamu itakuaje??
 
....kitu kikubwa ukisemacho boss hakitokani na Dr. Slaa as a factor....bali kilitokana na vote rigging (wizi wa kura)...nadhani hiki ndicho watanzania wengi hawakijui(probably including you!).....Kwa watu waliowahi kupata yaliyojiri kwenye uchaguzi ule wa 2010 (insiders) hawatokubaliana na assessment yako inayomhusisha Dr.Slaa kama factor ya kushindwa uchaguzi ule.....Wizi wa kura kwa taifa hili la TZ ndio utawachelewesha wapinzani kushinda chaguzi za taifa hili.....Ukweli ndio huu...Hutaki unaacha.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…