Slaa sisi ni watu wazima na timilifu

Status
Not open for further replies.
CHADEMA yafungua kesi mahakamani dhidi ya Nape; Yazungumzia inakopata ufadhili

13/09/2012

0 Comments

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimekiri kufadhiliwa kutoka nje ya nchi katika shughuli zake za kujijengea uwezo.

Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dkt Willibrod Slaa alisema hayo jana katika semina iliyoshirikisha baadhi ya viongozi wa chama hicho na wageni kutoka shirika la Chama cha Kikristo cha Ujerumani (CDU) la Konrad Adenauer Stiftung (KAS).

Kwa mujibu wa Dkt. Slaa, CHADEMA na KAS, wamekuwa na ushirikiano wa karibu kwa miaka sita sasa na ushirikiano huo umelenga zaidi kukuza demokrasia nchini.

Dkt. Slaa alidai kuwa CHADEMA ni chama chenye uwazi kwa kila mtu na katika uhusiano wao na KAS, hakiletewi fedha moja kwa moja kwa ajili ya operesheni au maandamano, ila kujijenga kiuwezo. nenda wavuti.com
 
Acha Uzuzu wewe, Kila Chama huwa kina Vyama Rafiki na CCM vyama vyake Rafiki na ambavyo huwa vinaipatia CCM pesa ni Vyama vya Kikomonist China, na hata ANC cha south, Ila vingine ni vya Africa sema havina Uwezo wa Kusaidia CCM,
r
CHADEMA nao wana vyama Rafiki kama vya Ghana, Liberia, Republican, Conservative cha Uingereza, CDU na vingine vingi, Na kuna Muungano wao unaitwa DU, so kusaidiana huwa ni jambo la kawaida na si Pesa za Za Serikali bali za kwao wenyewe, Hata CHADEMA wanao uwezo wa kusaidia vyama vilivyo kwenye huo umoja wao, na hizo pesa zina Kaguriwa na Mkaguzi CAG, na ni pesa kwa ajiri ya CAPACITY BUILIDING si za Kampeni wala nini, na hata CCM wanajua hilo na si ishu ya Siri ni ishu ya Uwazi kabisa

Na hata hivyo vinavyo saidia CCM ni kwa ajiri ya kuendesha shughuli za kiofisi na si Kampeni, hakuna Nchi ya Kijinga inayo weza kusapoti chama cha Nchi nyingine kwenye Kampeni kwa sababu wanatambua Madhara yake, na hata Policy za uhusiano haziruhusu

Sasa Nape yeye anatakiwa Kudhibitisha Nchi na si Chama, na MOU iliyo sainiwa kati ya CHADEMA na hizo Nchi, so hapo ndo kazi ilipo

CHADEMA Ruzuku ya Milioni 200 NA ZAIDI KWA MWEZI Watashindwa kufanya mikutano?
Safi sana mkuu, endelea kuwapa elimu ya bure hawa magamba maana wamezoea kuropoka tu bila utafiti na mwisho wa vuvuzela wao kuropoka umekaribia!
 
HAta JK anapewa saport ya kuendesha nchi ili unapaswa kulijua na kama wewe ni mtu mzima basi na hili ungelikuwa unalijua.
Pia kwa wakatitulionao tambua siasa zinahitaji mambo mengi ikiwa ni pamoja na mafuta,usafiri n.k. Je umewahi kukichangia chama chochote kwa kiwango unachoona kuwa kinatosha?
 
Acha Uzuzu wewe, Kila Chama huwa kina Vyama Rafiki na CCM vyama vyake Rafiki na ambavyo huwa vinaipatia CCM pesa ni Vyama vya Kikomonist China, na hata ANC cha south, Ila vingine ni vya Africa sema havina Uwezo wa Kusaidia CCM,
r
CHADEMA nao wana vyama Rafiki kama vya Ghana, Liberia, Republican, Conservative cha Uingereza, CDU na vingine vingi, Na kuna Muungano wao unaitwa DU, so kusaidiana huwa ni jambo la kawaida na si Pesa za Za Serikali bali za kwao wenyewe, Hata CHADEMA wanao uwezo wa kusaidia vyama vilivyo kwenye huo umoja wao, na hizo pesa zina Kaguriwa na Mkaguzi CAG, na ni pesa kwa ajiri ya CAPACITY BUILIDING si za Kampeni wala nini, na hata CCM wanajua hilo na si ishu ya Siri ni ishu ya Uwazi kabisa

Na hata hivyo vinavyo saidia CCM ni kwa ajiri ya kuendesha shughuli za kiofisi na si Kampeni, hakuna Nchi ya Kijinga inayo weza kusapoti chama cha Nchi nyingine kwenye Kampeni kwa sababu wanatambua Madhara yake, na hata Policy za uhusiano haziruhusu

Sasa Nape yeye anatakiwa Kudhibitisha Nchi na si Chama, na MOU iliyo sainiwa kati ya CHADEMA na hizo Nchi, so hapo ndo kazi ilipo

CHADEMA Ruzuku ya Milioni 200 NA ZAIDI KWA MWEZI Watashindwa kufanya mikutano?

Kwa hapa Tanzania,ni vyama vingapi vya upinzani vipo kwenye huo "umoja wao".! Na kama ni Chadema peke yake ndio chama kilichopo kwenye "umoja wao",kwa nini vingine havijajiunga wakapata "hizo pesa",au havijaona hiyo 'opportunity'?
 
In Psychology we call it 'fear of unknown'. Kuogopa vitu/kitu usicho kijua!

Do you mean usichokijua hutakiwi kukiogopa?! Chama kilichoko nje ya dola kupewa misaada na mataifa ya nje,watu kuhoji mantiki ya misaada hiyo,we unaita "fear of unknown"! Be serious..
 
Acha Uzuzu wewe, Kila Chama huwa kina Vyama Rafiki na CCM vyama vyake Rafiki na ambavyo huwa vinaipatia CCM pesa ni Vyama vya Kikomonist China, na hata ANC cha south, Ila vingine ni vya Africa sema havina Uwezo wa Kusaidia CCM,

Basi Chadema wakafute kesi ya NAPE kama haya yanaukweli.
 
Naunga hoja mkono mkuu,kama mpaka vyama vya upinzani vinapata misaada toka mataifa ya kibepari basi hii nchi kuja kupata mafanikio ya kiuchumi ni baadae sana. Achana na hawa mavuvuzela wanaopongeza kila hatua inayochukuliwa na chama bila kuhoji,yaani hao ni wapiga kelele tu wasio jua chochote. Usitegemee hata siku moja msaada wa mzungu utoke bure,halafu walivyokuwa waajabu eti wanacompare na ccm chama ambacho kila mtanzania hapendezewi na mwenendo wake sasa kama vyama vya upinzani vinafanana na ccm kuna haja gani ya kuwa na upinzani?[/QU Mkuu uko dunia ya ngapi, kwa taarifa yako cdm inapendwa kuliko unavyofikiria
 
Kwahiyo Nape hakudanganya!!!

Sidhani kama issue ni kudanganya,issue ni CDM inayo haki ya kushirikiana ndani na nje ya nchi kwa maslahi ya watanzania wote. Kuhusu Nape,mahakama imeshapokea mashtaka na makamanda wote wakiongozwa na Tundu A. Lissu wapo tayari kwa hoja,
 
[/QU Mkuu uko dunia ya ngapi, kwa taarifa yako cdm inapendwa kuliko unavyofikiria[/QUOTE]

Sijui umeyaelewa maelezo yangu mkuu? Sijasema CDM haipendwi,ninachokisema ni kwamba wengi tunapenda kuona vyama vya upinzani kuwa tofauti na CCM almost kwa kila kitu maana ndani ya miaka 50 ccm imeshindwa kutufikisha tunapostahili. Sasa kuna mavuvuzela humu wao wanacompare ccm na CDM eti ukihoji kitu kuhusu CDM wnasema mbona CCM pia wamefanya kitu hiki, sasa kama CDM na CCM wanafanana kwenye kitu fulani umuhimu wa upinzani ni upi?
 
Asenga Abubakar
ahaaa dk slaa itv live anakir kupata msaada wa kipesa toka nje bt si wakampen ni wa capacity building

capacity building ni eneo nyeti ambalo CDM wanatakiwa kuinvest sasa,bila hivyo watakuwa hawana tofauti yoyote na CCM ambako kila mtu anapuyanga anavyojua yeye. Wakati makamanda wengine wapo mstari wa mbele ktk M4C,wengine wajikite ktk mafunzo ya uongozi. Pelekeni vijana ktk mafunzo ndani na nje ya nchi. Msiogope tuhuma za kijinga za akina Nape!
 
Mwenye hii thread jifunze kutafakari jambo kabla huja repost.........u're esposing ur ignorance un necessarily
 
NIMECHOSHWA NA KAULI ZA MZEE WETU SLAA, eti kuwa wanapata msaada usiozidi milioni 60 kutoka kwa chama cha kikisto cha ujerumani sasa swali langu nauliza, kila mtu dunia hii anafahamu ubaya na uzuri ya misada ya wazungu kwa maana hakuna cha bure, na kwakuwa chadema tumeshuhudia kwa hapahapa tanzania wanauwezo wa kuchangisha mamilioni ya pesa kwa siku moja nawanchangia bila kupewa masharti, sasa kuna ulazima gani wa kwenda kwa wazungu hawa kupiga magoti kupewa milioni 60kwa mwaka??

hujui unamchongea bosi wako JK? Sasa huko Ulaya na America anakoenda kila kukicha unatuambiaje.

Kuna mwanbodi aliwasema hapa jukwaani, nanukuu; "....JK amekwenda safari (official) zaidi ya safari 300 lakini amerudi na sample za nanasi na nyanya.....Lema amekwenda UK mara 2 karudi na ambulance 2....."

Pia unakumbuka kiasi mlichotumia ktk Uchaguzi mdogo wa Igunga kwa ajili ya kuhonga peke yake? ni zaidi ya mara 4 ya hicho CHADEMA wanachopewa kwa mwaka na hao vyama rafiki. Tueleze hapa hizo hela ninyi mlitoa wapi?

Unaona inavyokuwa karaha na aibu kuitetea CCM na serikali yake?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom