Slaa sisi ni watu wazima na timilifu

Status
Not open for further replies.
Mie nachodhani hapa labda ungezungumzia masharti na wala sio msaada.....Tanzania yetu kuna watu inawaita wahisani au nchi wahisani hawa ndio wanaofanya serikali yetu kutimiza miradi ya maendeleo coz tunachozalisha kinatosha kulipa mishahara watumishi wa serikali.
Ni vigumu kuikimbia misaada kwani hata nchi za ulaya pia zinaendeshwa kwa misaada kutoka nchi zenye maendeleo makubwa.....msaada kama msaada hauna tatizo ila kama una masharti hapo ndio tatizo.
Hata hizi NGO za kimataifa ni misaada kutoka kwa wazungu wanaoitakia mema jamii ya afrika.
 
Sasa hivi ml60 za kila mwezi mbona hatukuwahi kusikia popote wala kujua? Au kwa sababu wengine hatupo makao makuu? Imekuwaje chama kitoe ukweli kuhusu hii michango ya ml.60 baada ya msuguano wa Nape na CDM?

Sasa nadhani ni muda muafaka wa chama kubainisha wazi vyanzo vyote vya mapato na matumizi yake hata kupitia website ya chama ili kila mwanachama aweze kujua vizuri mapato ya chama na kuondoa sintofahamu na propaganda chafu za CCM.

Naomba kuwasilisha.
 
Magamba wanakusanya kodi,epa, richmond na bado
wanatembeza bakuli. Tuelezeni mlipata kiasi gani kupitia dili
la kagoda na matumizi yawekwe wazi.
 
Anzisha chako uwe unachangisha hapa hapa Tanzania ukione sha mtemakuni. Kila chama au taasisi yoyote lazima kiwe na donaors both internal and external, hujui hilo?
 
So wakipewa!? Juzi zile landcruiser zenu mlitoa wapi mpaka kila ccm wilaya ipate..uctake 2anike.
 
NIMECHOSHWA NA KAULI ZA MZEE WETU SLAA, eti kuwa wanapata msaada usiozidi milioni 60 kutoka kwa chama cha kikisto cha ujerumani sasa swali langu nauliza, kila mtu dunia hii anafahamu ubaya na uzuri ya misada ya wazungu kwa maana hakuna cha bure, na kwakuwa chadema tumeshuhudia kwa hapahapa tanzania wanauwezo wa kuchangisha mamilioni ya pesa kwa siku moja nawanchangia bila kupewa masharti, sasa kuna ulazima gani wa kwenda kwa wazungu hawa kupiga magoti kupewa milioni 60kwa mwaka??
CCM kimekuwa chama cha WAISLAMU baada ya Jk kuingia madarakani. Raisi, makamu, kampeni meneja, makamba kuwepo kwao na sera kuanzisha ya kuanzisha mahakama ya kadhi + ndoa na CUF.. Baada ya hapo ukristo ukaanza kuonekana tena!.. Hoja ya kuwa na mawaziri wakuu wawili waislamu kati ya 10 ikafunikwa ADUI akawa CDM.
 
nimechoshwa na kauli za mzee wetu slaa, eti kuwa wanapata msaada usiozidi milioni 60 kutoka kwa chama cha kikisto cha ujerumani sasa swali langu nauliza, kila mtu dunia hii anafahamu ubaya na uzuri ya misada ya wazungu kwa maana hakuna cha bure, na kwakuwa chadema tumeshuhudia kwa hapahapa tanzania wanauwezo wa kuchangisha mamilioni ya pesa kwa siku moja nawanchangia bila kupewa masharti, sasa kuna ulazima gani wa kwenda kwa wazungu hawa kupiga magoti kupewa milioni 60kwa mwaka??
wewe mnafiki tu!.. Wakristo waliposema jk chaguo la mungu mlijichimbia misikitini na kuchekelea.. Alipoonekana kuchemka na kupingwa mkaibuka na kuwa watetezi.
 
NIMECHOSHWA NA KAULI ZA MZEE WETU SLAA, eti kuwa wanapata msaada usiozidi milioni 60 kutoka kwa chama cha kikisto cha ujerumani sasa swali langu nauliza, kila mtu dunia hii anafahamu ubaya na uzuri ya misada ya wazungu kwa maana hakuna cha bure, na kwakuwa chadema tumeshuhudia kwa hapahapa tanzania wanauwezo wa kuchangisha mamilioni ya pesa kwa siku moja nawanchangia bila kupewa masharti, sasa kuna ulazima gani wa kwenda kwa wazungu hawa kupiga magoti kupewa milioni 60kwa mwaka??
Mwambieni mwenyekiti wenu wa ccm Kikwete aache kuzungusha bakuli!
 
Watu wanaanza kujitetea kabla ya Nape kufyatuwa, mnafik hajifichi. Kwi kwi kwi teh teh teh.
 
Tunahitaji kujua kwa undani chama tunachotaraji kukipa dola, Nilimuelewa Profesa Shivji aliposema hajaona chama chochote cha upinzani kilichosimama katika misingi ya Ujamaa na kujitegemea hivyo ni fursa kwetu katika mchakato huu wa katiba kudai VYAMA VYOTE VYA SIASA VIWE KTK MISINGI YA UJAMAA NA KUJITEGEMEA TOFAUTI IWE KTK KUZITEKELEZA SERA HIZO. NITAFURAHI TUKILIPATA HILO KABLA YA UCHAGUZI MKUU UJAO.
 
Chama kipi kiweke chanzo cha mapato? Manake naona kama CCM ndo kina ridiculous expenditures hadi unajiuliza hela wanatoa wapi? Za kugawa hadi ubwabwa, khanga na kofia!
Sasa hivi ml60 za kila mwezi mbona hatukuwahi kusikia popote wala kujua? Au kwa sababu wengine hatupo makao makuu? Imekuwaje chama kitoe ukweli kuhusu hii michango ya ml.60 baada ya msuguano wa Nape na CDM?

Sasa nadhani ni muda muafaka wa chama kubainisha wazi vyanzo vyote vya mapato na matumizi yake hata kupitia website ya chama ili kila mwanachama aweze kujua vizuri mapato ya chama na kuondoa sintofahamu na propaganda chafu za CCM.

Naomba kuwasilisha.
 
Tunahitaji kujua kwa undani chama tunachotaraji kukipa dola, Nilimuelewa Profesa Shivji aliposema hajaona chama chochote cha upinzani kilichosimama katika misingi ya Ujamaa na kujitegemea hivyo ni fursa kwetu katika mchakato huu wa katiba kudai VYAMA VYOTE VYA SIASA VIWE KTK MISINGI YA UJAMAA NA KUJITEGEMEA TOFAUTI IWE KTK KUZITEKELEZA SERA HIZO. NITAFURAHI TUKILIPATA HILO KABLA YA UCHAGUZI MKUU UJAO.

Hayo ni mawazo yake tu kama mtanzania. He is NOT GOD

NIMECHOSHWA NA KAULI ZA MZEE WETU SLAA, eti kuwa wanapata msaada usiozidi milioni 60 kutoka kwa chama cha kikisto cha ujerumani sasa swali langu nauliza, kila mtu dunia hii anafahamu ubaya na uzuri ya misada ya wazungu kwa maana hakuna cha bure, na kwakuwa chadema tumeshuhudia kwa hapahapa tanzania wanauwezo wa kuchangisha mamilioni ya pesa kwa siku moja nawanchangia bila kupewa masharti, sasa kuna ulazima gani wa kwenda kwa wazungu hawa kupiga magoti kupewa milioni 60kwa mwaka??

Naunga hoja mkono mkuu,kama mpaka vyama vya upinzani vinapata misaada toka mataifa ya kibepari basi hii nchi kuja kupata mafanikio ya kiuchumi ni baadae sana. Achana na hawa mavuvuzela wanaopongeza kila hatua inayochukuliwa na chama bila kuhoji,yaani hao ni wapiga kelele tu wasio jua chochote. Usitegemee hata siku moja msaada wa mzungu utoke bure,halafu walivyokuwa waajabu eti wanacompare na ccm chama ambacho kila mtanzania hapendezewi na mwenendo wake sasa kama vyama vya upinzani vinafanana na ccm kuna haja gani ya kuwa na upinzani?
 
Umenena mkuu
 
Acha Uzuzu wewe, Kila Chama huwa kina Vyama Rafiki na CCM vyama vyake Rafiki na ambavyo huwa vinaipatia CCM pesa ni Vyama vya Kikomonist China, na hata ANC cha south, Ila vingine ni vya Africa sema havina Uwezo wa Kusaidia CCM,
r
CHADEMA nao wana vyama Rafiki kama vya Ghana, Liberia, Republican, Conservative cha Uingereza, CDU na vingine vingi, Na kuna Muungano wao unaitwa DU, so kusaidiana huwa ni jambo la kawaida na si Pesa za Za Serikali bali za kwao wenyewe, Hata CHADEMA wanao uwezo wa kusaidia vyama vilivyo kwenye huo umoja wao, na hizo pesa zina Kaguriwa na Mkaguzi CAG, na ni pesa kwa ajiri ya CAPACITY BUILIDING si za Kampeni wala nini, na hata CCM wanajua hilo na si ishu ya Siri ni ishu ya Uwazi kabisa

Na hata hivyo vinavyo saidia CCM ni kwa ajiri ya kuendesha shughuli za kiofisi na si Kampeni, hakuna Nchi ya Kijinga inayo weza kusapoti chama cha Nchi nyingine kwenye Kampeni kwa sababu wanatambua Madhara yake, na hata Policy za uhusiano haziruhusu

Sasa Nape yeye anatakiwa Kudhibitisha Nchi na si Chama, na MOU iliyo sainiwa kati ya CHADEMA na hizo Nchi, so hapo ndo kazi ilipo

CHADEMA Ruzuku ya Milioni 200 NA ZAIDI KWA MWEZI Watashindwa kufanya mikutano?

kwenye RED hapo ndio cha DAVID CAMEROON.
 
Asenga Abubakar
ahaaa dk slaa itv live anakir kupata msaada wa kipesa toka nje bt si wakampen ni wa capacity building
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom