Elections 2010 Slaa ndani ya Kiteto MANYARA jana

Luteni

JF-Expert Member
Jan 9, 2010
2,274
302
Sla.jpg


Mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk.Willibroad Slaa, akihutubia mkutano wa hadhara wa kampeni mjini Kibaya katika jimbo la Kiteto mkoani Manyara jana.

Alisema, akichaguliwa kuwa Rais, Serikali yake itapunguza Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) katika vifaa vya ujenzi hasa vinavyotengenezwa nchini, kama vile saruji, ili kuwezesha masikini kujenga nyumba bora.

Link hii ni wakati akiwa Mtera juzi

 
Last edited by a moderator:
Gud Dr. Endelea kuchana mbuga. Mimi kila unaloahidi najua una uwezo nalo, na utatimiza si kama hawa huyu Vuvuzela anayetuahidi wakati hata ahadi za zamani bado hajazitimiza.
 
Tafadhari wana JF mlioko kwenye msafara wa Dr. Slaa tuleteeni picha za mikutano yake hapa jamvini, coverage ya mikutano yake kwenye TV na magazeti ni ndogo sana pengine kuna mkono wa mafisadi.
 
Kuna watu wanahoji izo ahadi zitatekeleka?
Huwa nawakwa na hasira kujibu maswali kama hayo Tz na utajiri wote huu kuanzia madini,mbuga mabonde mtu anadiriki kuuliza hayo.
 
sidhani kama ndani ya moyo wako unaamini kuwa atashinda. Ni vizuri ukazungumza ukweli........hatupeleki Ikulu wahuni, wasio na ndoa, wabebawake za watu. Ikulu ni mahali patakatifu na aliye mtakatifu ni JK tu

Sizani kama wewe unakili timamu sorry kwa kukutukana but we zuzu!
JK mtakatifu!??? we kweli mse..........!!
 
Mshashindwa.......hameni chama hicho

Na Hidaya Kivatwa

Mkazi wa Kimara Abduswamadu Shabani (25), mwalimu wa shule ya kiislamu (madrasa) ya king'ong'o amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi wilayani Kinondoni kwa tuhuma za kumbaka mwanafunzi wake.

Awali alidaiwa kuwa Agosti 26, mwaka huu huko Kimara King'ong'o alimbaka mtoto ambaye jina limehifadhiwa.

Hati ya mashtaka ilieleza kuwa mtuhumiwa alitenda kitendo hicho wakati wa muda wa mapumziko, naye alitumia muda huo kumuita mtoto huyo na kumuingiza katika kibanda chake cha biashara na kuanza kumbaka na alipomaliza alimpa ubuyu na baada ya hapo alirudi darasani na kuwaruhusu wanafunzi waende nyumbani.

Mshtakiwa alikana shtaka hilo na yupo ndani kwa kukosa wadhamini hadi hapo kesi itakapotajwa tena Septemba 14, mwaka huu.

Source: Mwananchi
 
Kuna watu wanahoji izo ahadi zitatekeleka?
Huwa nawakwa na hasira kujibu maswali kama hayo Tz na utajiri wote huu kuanzia madini,mbuga mabonde mtu anadiriki kuuliza hayo.

Kwani hao hawajaisoma ripoti ya CAG juu ya bajeti ya Tz kwa mwaka wa fedha uloishia juni 30, 2010?
 
chadema iko juu sana
mwaka huu mtakoma nyie wezi wa mali za umma
 
Back
Top Bottom