Slaa na Mbowe, nani atafaa kwa urais 2015? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Slaa na Mbowe, nani atafaa kwa urais 2015?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by MWANA WA DAUDI, Jun 10, 2011.

 1. M

  MWANA WA DAUDI Member

  #1
  Jun 10, 2011
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wanajamvi,
  Jana nilikuta mabishano makao makuu ya chadema. Wengi wao ni wajumbe wa Baraza kuu ambao wanaamua hatma ya mgombea urais wa chadema 2015. Wanasema Rais ajaye atatoka chadema. Lakini mgawanyiko ukaanza pale ambapo wanamjadala waligawanyika ktk makundi ya Mbowe na Slaa.

  Wanaosema Slaa wana sababu hizi;
  Umaarufu wa Chadema umejengwa na Slaa.
  Watanzania wanampenda Slaa zaidi ya mtu yeyote Chadema akiwepo Mbowe.
  Slaa anajua mambo mengi kwa kuwa alikuwa bungeni 15 years?
  Slaa ana elimu kubwa kuliko Mbowe.

  Changamoto zake.
  Ana umri mkubwa 2015 atakuwa na 67.
  Historia ya upadri inawasumbua baadhi ya wapiga kura hasa waislamu. Mbona 2010 alipata kura nyingi? Still debatable.

  Waungaji wa Mbowe.
  Mbowe umri mzuri kuliko Slaa -- 62 vs 50 ya mbowe. 2015 atakuwa 55
  Mbowe atatusaidia kwa fedha zake wakati wa kampeni.
  Anajua kujieleza sana kupita hivyo atawashawishi wapiga kura.  Changamoto yake
  Ana elimu ndogo.
  Watanzania kutowaamini wachaga

  Baada ya mjadala ule wa mtaani nikampigia moja wa mrafiki zangu ambaye ni kiongozi wa chadema wa makao makuu kujua wanampango wa kumpitisha nani awe mgombea wao wa Urais wa mwaka 2015. Akaniambia vikao vya chama vitaamua. Hata hivyo, kuna ukweli kwamba Mbowe baada ya kuona kuwa chadema inaungwa sana mkono anafikiria kutaka kugombea mwenyewe tena. Halafu akamalizia japo kuwa Mbowe ni rafiki yangu naona kama hajakubalika kama Dr Slaa.

  My take; Mbowe na Slaa wakiingia wote ktk mchakato wa kura za maoni wataivuruga Chadema.Heri wakubaliane moja wao agombee baada ya kufanya utafiti.
   
 2. NgumiJiwe

  NgumiJiwe JF-Expert Member

  #2
  Jun 10, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 867
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Kwasasa huko chadema mwenye uwezo wa kuitesa CCM na kuwafanya wajiulize sana ni nani atawafaa kwa nafasi ya Urais 2015-ni Dr.Slaa tu.Hiyo miaka 67 siyo issue wala nini.Mbowe hana mvuto wa Urais.Kifupi hachaguliki na mkitaka muiue chadema,basi mpitisheni Mbowe hiyo 2015.Naamini CCM hata wakimsimamisha Mwinyi,watashinda kwa kishindo bila kutoka jasho!
   
 3. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #3
  Jun 10, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  Kwanza nikupinge kwa hayo unayoita mabishano eti umeyasikia jana sijui wapi...acha uongo !! pili CHADEMA kwa sasa hatuzungumzii mgombea wa 2015 kwa kuwa sio priority kwa sasa..ila muda ukifika atapatikana mgombea kama ilivokuwa 2010 na si vinginevyo...
   
 4. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #4
  Jun 10, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,133
  Trophy Points: 280
  Wasipokuwa makini mwaka 2015 nao watagawanyika kama CCM.
   
 5. Mess

  Mess JF-Expert Member

  #5
  Jun 10, 2011
  Joined: Mar 2, 2009
  Messages: 667
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Dr. Slaa ndiye anayekubalika na watu walio wengi ana point nzuri na flow yake inakubalika kimataifa. Mbowe ni mzuri sana naye pia kujieleza elimu ya mbowe sio shida maana mimi siamini elimu ya vyeti ila naamini elimu ya kiutendaji na kutoa mawazo ambayo ni ya maana. Hivyo Dr. Slaa anafaa kuwa our next president, hayo mambo mengine ni madogo sana kwa taarifa yenu waislamu wengi wanamkubari Dr. Slaa ni marehemu tu Shehe Yahya na Simba wa Bakwata ndio wana/walikuwa na agenda yao ya siri.
   
 6. m

  mwelimishaji Member

  #6
  Jun 10, 2011
  Joined: Oct 5, 2010
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tusianze kuvuka daraja kabla hatujalifikia. Kujadili jambo hili sasa haina maana nzuri kwani yeyote atakayepitishwa na chama ndiye atakayekuwa rais wetu. Kuwachambua sasa hivi Mbowe na Slaa ni kukaribisha hoja za malumbano kabla ya kazi yenyewe.
   
 7. Mess

  Mess JF-Expert Member

  #7
  Jun 10, 2011
  Joined: Mar 2, 2009
  Messages: 667
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kigogo ! MTOA MADA HAKUSEMA ALIKUWA KWENYE KIKAO CHA CHADEMA. AMESEMA NI SPECULATIONS ZA WANACHAMA TU AMBAO YEYE ALIKUWA NAO AT A POINT. SORRY
   
 8. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #8
  Jun 10, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Hakuna hata mmoja kati ya hao anaefaa. Kila mmoja kati yao ana madudu ambayo hayastahiki kuwanayoi kiongozi wa Taifa.

  Kama ulimsikia Mobowe jana akihojiwa baada ya bajeti, alinisikitisha kwa kuwa na upeo mdogo wa kujibu, alichokiona yeye ni sigara bia na vinywaji vya anasa kupanda bei! jiulize kwanini? halafu ndio awe Rais huyu? uki "compare" muda mchache walioulizwa yeye na Lipumba ndipo utapogunduwa tofauti za upeo wao, Lipumba alijibu kwa hoja za maana kabisa, maskini Mbowe, hotuba yote kaona sigara na vinywaji vya anasa. Anasikirtisha sana.

  Waliosikiliza mahojiano nje ya Bunge jana yakirushwa live waseme.
   
 9. Avatar

  Avatar JF Gold Member

  #9
  Jun 10, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 676
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 35
  Mh! tupo 2011, halafu tuna focus uchaguzi wa 2015?.. huu ndio mi nnaouita uchu wa madaraka!
   
 10. G

  Gurtu JF-Expert Member

  #10
  Jun 10, 2011
  Joined: May 15, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Mleta mada ana makusudi ya kuwachonganisha Dr. Slaa na Mh. Mbowe. Hakuna lolote hapo. Kama ilivyokuwa katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2010, CDM walitumia mbinu za kisayansi kumpata mgombea urais anayekubalika, hali kadhalika wanapaswa kutumia mbinu hizo hata 2015. Kama hawatatumia mbinu hizo kumpata mgombea urasi 2015 basi wasubiri kuvuna mabua. WanaCDM msiingie katika mitego ya mafisadi ama kugombana wenyewe au kuwapitisha wagombea wenu kwa purukushani.
   
 11. R

  Radi Member

  #11
  Jun 10, 2011
  Joined: May 22, 2010
  Messages: 94
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Ili kuepusha mpasuko ndani ya chama ni bora waweke Jembe lenye makali,,TUNDU LISSU"
   
 12. G

  Gurtu JF-Expert Member

  #12
  Jun 10, 2011
  Joined: May 15, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Bila shaka wewe utafaa.
   
 13. NgumiJiwe

  NgumiJiwe JF-Expert Member

  #13
  Jun 10, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 867
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Lazima kwanza kura zitoshe mazee..huwezi kumpitisha 'yeyote' halafu ukategemea ushindi utakuja tu.Siyo ukomunisti huu!
   
 14. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #14
  Jun 10, 2011
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,611
  Likes Received: 4,717
  Trophy Points: 280
  Mtoa mada hii nimwongo na mzushi hapo makao makuu watu hawawezi kuleta ubishi wa kijinga namna hii wana mambo ya maana zaidi ya kufanya kwa mustakabali wa chama na taifa.Kifupi mtoa mada hii ni moja wapo wa ile MISUKULE YA NAPE MWANDOSYA
   
 15. Mulama

  Mulama JF-Expert Member

  #15
  Jun 10, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 2,458
  Likes Received: 710
  Trophy Points: 280
  Kwa kweli hata mimi naona ni uzushi cdm ni watu serious wanao address appropriate issues katika appropriate times kwa maana hiyo sitarajii kwamba makao makuu sasa hivi wana muda wa kujadili vitu ambavyo muda wake haujafikia kama urais! nakubaliana na douglas kwamab aliyeleta sredi hii ni msukule wa akina nape na wenzake!
   
 16. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #16
  Jun 10, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  jana nilipita mtaani kwenu nikakuta watu wanabishana wewe na mkeo ni nani mwenye akili.
  kuna waliosema ni wewe ila wengi walisema ni mkeo. mimi nilisema ni wewe ila leo nimebadilika baada ya kuona huu utmbo wako hapa.
  chadema si chama cha kihivyo.kabla ya uchaguzi uliopita kuna waliokuwa na akili kama yako lakini mwisho wa siku waliumbuka.
  jaribu kumwuliza mkeo anafikiri 2015 chadema watasimamisha m2 gani jibu lake ndipo utagundua kwa nini mimi leo nimebadilika.
  tchao.
   
 17. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #17
  Jun 10, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  It is too early now to discuss about Chadema presidential candidate in 2015!!!it is convinient time now to discuss about strategies on how to alleviate ordinary Tanzanians' poverty!!!
   
 18. M

  Marytina JF-Expert Member

  #18
  Jun 10, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  umesikia wapi hizi habari?
  kwenye mihadhara ya Manzese kwa Bakresa?
   
 19. mbogo31

  mbogo31 JF-Expert Member

  #19
  Jun 10, 2011
  Joined: Nov 28, 2008
  Messages: 687
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Huna Hoja,

  watu wanaopigana kwa urais wa 2015 ni magamba badala ya kufanya kazi kwa maendeleo ya watanzania wao macho yamewatoka nani baada ya JK, na wewe unatuletea hizo hadithi hapa, achana na Chadema ina viongozi makini na wanaojua kusoma alama za nyakati, wakati utakapofika wa kumtangaza mgombea utajulishwa na atakuwa mgombea makini, na wote tutakuwa na jukumu moja tu kumpigia debe.
   
 20. n

  ngurati JF-Expert Member

  #20
  Jun 10, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 221
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Currently CHADEMA hatufikirii NEXT ELECTION , tunafikiria NEXT GENERATION.
   
Loading...