Nimepata taarifa kuwa Dk Slaa amezungumza na waandishi wa habari leo na kusema ana ushahidi kuwa watumishi wa Usalama wa Taifa wametawanywa mikoa mbalimbali ili kuidhibiti Chadema na kuhakikisha CCM inashinda uchaguzi ujao. Wana JF waliohudhuria mkutano huo watumwagie vitu zaidi.