Elections 2010 Slaa: Mashushushu watawanywa mikoani kuhakikisha ushindi kwa CCM

MzeePunch

JF-Expert Member
Jun 8, 2009
1,412
203
Nimepata taarifa kuwa Dk Slaa amezungumza na waandishi wa habari leo na kusema ana ushahidi kuwa watumishi wa Usalama wa Taifa wametawanywa mikoa mbalimbali ili kuidhibiti Chadema na kuhakikisha CCM inashinda uchaguzi ujao. Wana JF waliohudhuria mkutano huo watumwagie vitu zaidi.
 
Wanajisumbua tu hawawezi.
 
That will work if and only if those homeland security chiefs are Muslims.

Vinginevyo CCM wanatwanga maji kwenye kinu
 
Mungu akiwa upande wetu, ni nani aliye juu YETU;

MUNGU atubariki mbinu zao zishindwe
 
Hivi hawa Mnao waita usalama wa waifa siku hizi ni wafanyakazi wa CCM? maana sijaona la maana wanalo lifanya zaidi ya kusikia wanatumika kwa jili ya kutishia wananchi na kukandamiza baadhi ya watu wanakaoonekana kuwa tishio kisiasa...

Alafu sasa hivi wamekuja na mpya ya kutishia wananchi kuwa vyama vya upinzani vitaleta vita na upuuzi mwingine kama huo.
 
Nimepata taarifa kuwa Dk Slaa amezungumza na waandishi wa habari leo na kusema ana ushahidi kuwa watumishi wa Usalama wa Taifa wametawanywa mikoa mbalimbali ili kuidhibiti Chadema na kuhakikisha CCM inashinda uchaguzi ujao. Wana JF waliohudhuria mkutano huo watumwagie vitu zaidi.

Hivi wameajiriwa na CCM? Ndo maana mambo mengi hayaendi vizuri. Unaitwa Usalama wa taifa halafu wanafanya kazi ya CCM, vinaendana kweli. Nchi imekwisha
 
Natumaini hata kwa baadhi ya maboss wa UwT watakuwa wamechoka. This time is hard for them anyways!!!

Kaza buti Dr. Slaa moto mara mbili...

Hawa jamaa wa UwT nawashangaa, badala y akuhakikisha angalau some other agencies zinafanya kazi yao kulinda wa TZ wao bado wana akili ya ki "zidumu fikra sahihi..." utashangaa siku hizi watu wana-smuggle fake infant milk, TFDA wanagundua yakiwa dukani tayari....!!!

Tulitegemea UwT kupelelza how they being smuggled, kuwawajibisha TFDA or any other invlved... wao ndo kwanza wanakimbiza work load kuuua demokrasia nchini!!!

Aaargue.... ngoja niende zangu kwenye value zangu tu!!!
 
Tanzania sasa imeiva kwa mapinduzi na mageuzi ya kweli. Na ikifikia hapo hakuna nguvu yoyote inayoweza kuwazuia. Achilia mbali maofisa wa usalama wa Taifa kutawanywa, hata kama jeshi zima linamwagwa, kamwe haliwezi kuvunja roho ya mapinduzi. SAA YA UKOMBOZI NI SASA.
 
That will work if and only if those homeland security chiefs are Muslims.

Vinginevyo CCM wanatwanga maji kwenye kinu
Ng'wanangwa, acha ubaguzi bana. Watanzania wengi wa dini zote wamechoshwa na utawala wa sasa. Na wote kwa pamoja wanataka mabadiliko. Hitaji la mabadiliko ni la wote bila kuangalia dini.
 
Jamani mbona tulikuwa na matumaini ya kushinda, kuchukua viti vingi vya ubunge wanatutia tumbo joto tena.
 
Hivi hawa Mnao waita usalama wa waifa siku hizi ni wafanyakazi wa CCM? maana sijaona la maana wanalo lifanya zaidi ya kusikia wanatumika kwa jili ya kutishia wananchi na kukandamiza baadhi ya watu wanakaoonekana kuwa tishio kisiasa...

Alafu sasa hivi wamekuja na mpya ya kutishia wananchi kuwa vyama vya upinzani vitaleta vita na upuuzi mwingine kama huo.

Hee, hawa jamaa ni Usalama wa Mafisadi! Ndo wanaowalinda mafisadi wasikamatwe na kuharibu ushahidi unaoweza kusababisha watu kama akina RA, EL, Chenge na wengineo kukamatwa. Na wana kazi ngumu ya kuhakikisha CCM inashinda ili kuondoa uwezekano wa chama kingine kuingia madarakani na kuwashitaki hawa mafisadi. Usalama wa taifa alikufa nao Nyerere.
 
Hivi hawa Mnao waita usalama wa waifa siku hizi ni wafanyakazi wa CCM? maana sijaona la maana wanalo lifanya zaidi ya kusikia wanatumika kwa jili ya kutishia wananchi na kukandamiza baadhi ya watu wanakaoonekana kuwa tishio kisiasa...

Priority ni usalama wa chama au wa taifa? Ila mambo yalivyo, hata huku kumejaa wasanii tu. Tunawasubiri katika vibar vyetu vya mtaani watupe story. Kama
Alafu sasa hivi wamekuja na mpya ya kutishia wananchi kuwa vyama vya upinzani vitaleta vita na upuuzi mwingine kama huo.

Priority ni usalama wa chama au wa taifa? Tutasizikia habari kwenye ile mikutano yetu ya nyama choma ambayo tunajikusanya kama watoto wa shule
 
Hivi hawa Mnao waita usalama wa waifa siku hizi ni wafanyakazi wa CCM? maana sijaona la maana wanalo lifanya zaidi ya kusikia wanatumika kwa jili ya kutishia wananchi na kukandamiza baadhi ya watu wanakaoonekana kuwa tishio kisiasa...

Alafu sasa hivi wamekuja na mpya ya kutishia wananchi kuwa vyama vya upinzani vitaleta vita na upuuzi mwingine kama huo.
that is an old fashion threat, sasa hivi watu hawadanganyiki
 
Tanzania sasa imeiva kwa mapinduzi na mageuzi ya kweli. Na ikifikia hapo hakuna nguvu yoyote inayoweza kuwazuia. Achilia mbali maofisa wa usalama wa Taifa kutawanywa, hata kama jeshi zima linamwagwa, kamwe haliwezi kuvunja roho ya mapinduzi. SAA YA UKOMBOZI NI SASA.
Say it again, SAA YA UKOMBOZI NI SASA
 
katika massive win usalama wataifa hawawezi kufanya lolote.
hapa Mwanza kina masha pamoja na kua na kundi ma maafande , lakini safari hii wanashindwa kuwatuma, wengine wanakwenda , wanaishia kubishana, maana hata wao mapolisi wanataka maisha bora, wanaimani na Slaa, Usalama wa Taifa wanafuata per diem zao kule, na kunywa lager na kusihi bure, hakuna cha kuzuia, twendeni tukawangoe hawa wezi wa kura na raslimali za taifa.
 
Kikwete atawajibika kwa yote yatakayo tokea akiendelea na mchezo huu....Tunataka mabadiliko
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom