Anachofanya Dr Slaa mimi naweza ita ni extension ya Operation Sangara, yaani Dr na wenzie wanachofanya ni kuwafungua macho watanzania ili waweze kufanya maamuzi sahihi mwezi October! si mnajua ukirusha jiwe gizani ukisikia aaiii ujuwe limempata! hahah CCM jiwe limewapata sasa wanatafuta pa kudekea, CCM is like a spoilt child, kila akigusa basi ni mbio kwa baba kulalamika! Mambo haya walianza wenyewe CCM, what chadema is doing is just giving CCM the test of its own medicine!
Ndugu Kilembwe,
Nakubaliana nawe kabisa. CCM waache woga, tulieni tu. Hiyo ni mikutano ya kawaida ya CHADEMA, mbona wakati wa operation Sangara hawakusema kuwa Chadema wameanza kampeni. Ngoja achukue fomu ndipo muanze kusema. HIZO NI RASHA RASHA TU, MVUA YENYEWE YAJA