kwa hiyo mkuu unataka kama wamekutana kwa jambo la barabara wazungumzie mauaji ya raia? Kweli nyie ndo mnaoifanya siasa uadui. Unataka kwa mfano wakikutana kwenye mazishi waanze kuzungumzia mauaji ya raia? Kila jambo lina pahali pake
Naunga mkono hoja yako. Mdau anataka wakikutana kwenye sherehe ya uhuru, basi hapohapo Mbowe abadilishe somo na kumhoji raisi kuhusiana na mauaji!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!