Slaa amshangaa Kinana

Slaa amshangaa Kinana

.........anaacha kumshangaa ROSE KAMILI anamshanga KINANA ......nasi tutamshangaa 2015...mwanamume mzima unakaa kushangaa wanaume wenzako alafu bado utasikia ni dr.......ukisoma cv ndiyo utajua ni zile zile phd za Kipaimara....nyambafu...

Kwenye hili, inaelekea hujui unachoongea! mengine ni maoni yako ni vema tukayaheshimu. Swala la elimu you must have been lazy when others were going to school! unalinganisha na zile PhD za takrima mlizonazo?
 
.........anaacha kumshangaa ROSE KAMILI anamshanga KINANA ......nasi tutamshangaa 2015...mwanamume mzima unakaa kushangaa wanaume wenzako alafu bado utasikia ni dr.......ukisoma cv ndiyo utajua ni zile zile phd za Kipaimara....nyambafu...
Tunakushangaa zaidi wewe na ubwege wako, badala ya kujadiri maswala ya kisera unakuja na upumbavu wako hapa. Rose kamili anauhusiano gani na bei ya korosho wewe kinyago?
 
Kaka zile PhD za kipaimara zinaongoza Dunia ikiwemo Tanzania , ni PhD zile zile zinawaunganisha watu walioko chinin yao unlike waislam wasio na mpangilio wanalia lia muda wote na kubakia kujawa na roho ya mauti na kuiba bia za watu na kudhani Korani inapiganiwa kama vile haina nguvu.PhD za kipaimara hata leo Tanzania zinaongoza Nchi hata wakiwa nje ya uongozi still they are strong and we are strong mptapiga kelele lakini PhD ziko zinatambuliwa si kama wale viongozi wenu ambao lazima uwe mfuga majini ndiyo uwe shekhe wa msikiti.

Haya maneno "mgalatia, mfuga majini, ...za kipaimara ...za madrassa etc" ya nini hapa kwenye jukwaa la Siasa?. NAOMBA UONGOZI WA JF UWAPIGE permanent ban WATU WA NAMNA HII,MAANA KAULI ZAO NI HATARI KWA TAIFA
 
Babu ana ugonjwa wa kusahau; atashangaa mangapi? Hayakumshangaza yake ya kumkimbia Rose Kamili angeanza na yake kabla ya kumshangaa Kinana

Chama
Gongo la mboto DSM

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
- HUYU mzeee naye anazeeeka vibaya sana dhambi ya mke wa mtu inaanza kumtafuna sasa hajielewi kabisa, anaacha kujishangaa mwenyewe kujilipa hela za wananchi walipa kodi Shillingi Millioni 12 kwa mwezi ambazo wala hazina risiti anajipa tu, leo anamshangaa Kiongozi wa Chama Tawala tena Mkubwa kuliko yeye na aliyechaguliwa na wanachama wote wa CCM, wakati yeye amechaguliwa na Mtei tu, halafu ndio mnasema huyu afanye mdahalo na Kinana, yaani aibu tupu!!

Le Mutuz!!

Mkuu upo?nilifikiri ulishaanza kuokota makopo bana
 
Dr.SLAA kauli yake ina mashiko na FAIDA KUBWA kwa Wamakonde na Wamakua. Je! wewe povu unalomwaga hapa linawasaidiaje Wamakonde?.
Babu ana ugonjwa wa kusahau; atashangaa mangapi? Hayakumshangaza yake ya kumkimbia Rose Kamili angeanza na yake kabla ya kumshangaa Kinana

Chama
Gongo la mboto DSM

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Mkuu upo?nilifikiri ulishaanza kuokota makopo bana

- HA! HA! HA! HA! HA! vipi umeshaanza nini sasa kama ile tabia ya mlevi kuamini wengine wote ni walevi unaaamini na wengine wote wanaokota makopo kama wewe na chama chenu Chadema, tulizeni boli hapa, mimi ninawapa za uso ambazo hamuwezi pewa na mtu yoyote huko kwenye real World,

- FACTS: Toka iazishwe sasa ni miaka 25 Chadema haijawahi kushinda Urais, wala kufikisha viti 50 tu bungeni!!

- FACTS: Dr. Slaaa na Chadema wameshagombea Urais wa jamhuri na kushindwa vibaya sana na kushia kupata kura yake mwenyewe tu!!

- FACTS: Mbowe na Chadema wamewahi kugombea urais wa jamhuri na kuishia kupata kura yake mwenyewe tu!!

- FACTS: Chadema majuzi imeshindwa vibaya sana kwenye uchaguzi wa madiwani kwa kuishia kuapata viti 5 tu kati ya 27!!

POWA NGOJA NIWAHI KUOKOTA MAKOPO!! ha! ha! ha!

Le Mutuz!!
 
- ha! ha! ha! ha! Sichaguliki kuliko Chadema, wewe umewahi kusikia chama gani Duniani toka kianzishwe hakijawahi kushinda Urais, yaaani hata Udiwani taabu tupu sasa hicho ni chama gani? afadhali kufukuzwa na mke kuliko kujidai unataka kuwakomboa wananchi wanakuamini unaanza kuwainia wake zao, and then unaiba mke mdogo kuliko wewe kwa miaka 40, halafu eti ni chama kinachokubalika kinakubalika na nani?

- Chama kinachokubalika na wananchi kinaanza kuonyesha dalili kwa ksuhinda viti vingi vya Udiwani, kama huwezi kushinda Udiwani utashinda vipi Taifa, yaani huko hata common sense tu hakuna, it is time to quit siasa nyie Chadomo!!

Le Mutuz!!

Willy

Tukienda kwenye personal sidhani kama kuna mtu atakayesalia ndani ya Chama chenu

-Pia mbona hamjibu hoja alizotoa Dr.Slaa.Hii mbinu yenu ya ku-trivialize issues haitawasaidia.Kwamba mtu akitoa hoja ukiona huwezi unaanza kumjadili?Ndiyo mbinu ya siasa za kisasa hii!

-Kuhusu kushinda Uchaguzi.Ni lini hasa CCM ilishawahi kushinda uchaguzi?Tusubiri 2015 si mbali.Hata viongozi wako wakuu wanalijua hili vizuri sana ndiyo maana ndani ya uchaguzi wenu kila aliyesema ataidhibiti CHADEMA ndiye aliyeishia kupata kura za pupa hata kama alitoa rushwa ndogo kuliko wengine .Be honest to yourself
 
Kinana ameingia tu na wameanza kujinyea nyea.

wanajinyea nyea wanyama poli kama TEMBO na FARU,sio binadamu mbulula wewe.........maana watauwawa na majangili mpaka wataijua ccm.......ccm oyeeeeeee( chama cha majangili oyeeeeeeee)
 
- HA! HA! HA! HA! HA! vipi umeshaanza nini sasa kama ile tabia ya mlevi kuamini wengine wote ni walevi unaaamini na wengine wote wanaokota makopo kama wewe na chama chenu Chadema, tulizeni boli hapa, mimi ninawapa za uso ambazo hamuwezi pewa na mtu yoyote huko kwenye real World,

- FACTS: Toka iazishwe sasa ni miaka 25 Chadema haijawahi kushinda Urais, wala kufikisha viti 50 tu bungeni!!

- FACTS: Dr. Slaaa na Chadema wameshagombea Urais wa jamhuri na kushindwa vibaya sana na kushia kupata kura yake mwenyewe tu!!

- FACTS: Mbowe na Chadema wamewahi kugombea urais wa jamhuri na kuishia kupata kura yake mwenyewe tu!!

- FACTS: Chadema majuzi imeshindwa vibaya sana kwenye uchaguzi wa madiwani kwa kuishia kuapata viti 5 tu kati ya 27!!

POWA NGOJA NIWAHI KUOKOTA MAKOPO!! ha! ha! ha!

Le Mutuz!!

2015 tunapiga harafu tunalinda kura .2015 hamtoki
 
.........anaacha kumshangaa ROSE KAMILI anamshanga KINANA ......nasi tutamshangaa 2015...mwanamume mzima unakaa kushangaa wanaume wenzako alafu bado utasikia ni dr.......ukisoma cv ndiyo utajua ni zile zile phd za Kipaimara....nyambafu...

pole kaka umetumia nguvu kubwa kujibu hoja,safi sana tumeelewa mantiki ya katibu mkuu wa chama kinachotawala kulalamikia bei ya korosho iliyowekwa na serikali inayotawala.
Maumivu yakizidi kama hutojali muone mch Mtikila anaweza akakuombea yakapungua kama si kupona kabisa.
Angalizo:usiende kwa mch Lwakatare kwani huyu Halima M demu sijui amemtuhumu kajenga nyumba kwenye bonde la mto Mbezi kinyume cha sheria na kutumia mbinu za kuwaconfuse serikali kwa mbinu za kishetani nyumba yake nayo isibomolewe,kwa hiyo upako unaweza ukawa hatihati.
wanasema anaweza akawa si mchungaji bali mwindaji ndiyo maana yuko kwenye chama cha tuhuma na hasikiki kukemea bali kubariki.
Ukifuata ushauri maumivu ya moyo yatapungua unaw eza kumpenda Padre aliyekuja kukuletea uhuru dhidi ya udhalimu
 
- HA! HA! HA! HA! HA! vipi umeshaanza nini sasa kama ile tabia ya mlevi kuamini wengine wote ni walevi unaaamini na wengine wote wanaokota makopo kama wewe na chama chenu Chadema, tulizeni boli hapa, mimi ninawapa za uso ambazo hamuwezi pewa na mtu yoyote huko kwenye real World,

- FACTS: Toka iazishwe sasa ni miaka 25 Chadema haijawahi kushinda Urais, wala kufikisha viti 50 tu bungeni!!

- FACTS: Dr. Slaaa na Chadema wameshagombea Urais wa jamhuri na kushindwa vibaya sana na kushia kupata kura yake mwenyewe tu!!

- FACTS: Mbowe na Chadema wamewahi kugombea urais wa jamhuri na kuishia kupata kura yake mwenyewe tu!!

- FACTS: Chadema majuzi imeshindwa vibaya sana kwenye uchaguzi wa madiwani kwa kuishia kuapata viti 5 tu kati ya 27!!

POWA NGOJA NIWAHI KUOKOTA MAKOPO!! ha! ha! ha!

Le Mutuz!!

Hivi Mkuu nikuulize swali la msingi
unajua wewe na familiya yenu mna matatizo sana,kwanza mzee alitushangaza alivyobadili dini na kuitwa Jumanne,kisa cha kubadili dini uzeeni anakijua mwenyewe,
halafu alipotea zaidi alipokuja hapa same na kukamata lile shangingi lililokubuhu,hizo ni dalili za laana Mkuu mna matatizo makubwa sana nyie
Kwa mfano wewe binafsi umekaa ughaibuni miaka 30 kama unavyodai,je umejifunza nini huko?mbona kutwa kucha unahangaika na Watanzania ambao hawajahi kusafiri kutoka nje ya nchi ukigombea nao vyeo ndani ya chama chako?
halafu Mkuu kuna umuhimu wowote wa kuhangaikia sana madaraka wakati umeshaona wenzio hawakutaki?
 
Back
Top Bottom