Ukana Shilungo
JF-Expert Member
- Apr 17, 2012
- 3,041
- 2,423
ritz kwa ushuzi !usipende sana kunde.Dr Slaa kwa nini usishangae mpaka leo bado ujafunga ndoa unazeeka. Unamshangaa Kinana.
ritz kwa ushuzi !usipende sana kunde.Dr Slaa kwa nini usishangae mpaka leo bado ujafunga ndoa unazeeka. Unamshangaa Kinana.
masuala ya ndoa na siasa wapi na wapiDr Slaa kwa nini usishangae mpaka leo bado ujafunga ndoa unazeeka. Unamshangaa Kinana.
Sasa wewe ndo umechangia nini? nakufananisha na marehemu...
Bora ambaye siasa zimemshinda kuliko yule asiyewaza lolote kichwani yaani kichwa cha nazi!
Kweli wewe ni njiwa heri ungekuwa kwale
Dr Slaa kwa nini usishangae mpaka leo bado ujafunga ndoa unazeeka. Unamshangaa Kinana.
Huyu mzee Slaa is like a startled rabbit caught in headlights,he has no idea and Majority of Tanzanians don't Know what he wants... i think its about time to hang those gloves ... siasa zimeshinda huyu babu
Huo ndio ukweli slaa ni mzushi keshaishiwa na sera Slaa always lie / & kuzusha vitu visivyokuwepo so he can get in power and he will continue to lie to stay in. The amusing thing is pro CDM ni vipofu hawalioni hilo....
Huwafuatilii viongozi hawa mafisadi wanaongea nini. Usikurupuke kutoa hoja ambazo zinausaliti moyo wako.Mkuu.
Wala usishangae ndio ndimi mbili zenyewe hizo.
Juzi alipo hojiwa kwenye Jenerali on monday anasema hana muarobaini wa rushwa wa haraka ndani ya ccm, mzee Mangula yeye kasema walio toa rushwa na kupata uongozi kwa rushwa wote watang'oka ndani ya ccm katika kipindi cha miezi sita. Hizo ni ndimi ngapi?!
Mukama alisema wanajivua gamba ndani ya siku 90 ilivyoshindikana Nape akasema ni siku 120 hizo nazo ni ndimi ngapi?
Walio kataa kuwa hakuna pesa za epa zilizoibwa baadae wakaja kukubali kuwa zimeibwa. Hizo ni ndimi ngapi?
.........anaacha kumshangaa ROSE KAMILI anamshanga KINANA ......nasi tutamshangaa 2015...mwanamume mzima unakaa kushangaa wanaume wenzako alafu bado utasikia ni dr.......ukisoma cv ndiyo utajua ni zile zile phd za Kipaimara....nyambafu...
Huo ndio ukweli slaa ni mzushi keshaishiwa na sera Slaa always lie / & kuzusha vitu visivyokuwepo so he can get in power and he will continue to lie to stay in. The amusing thing is pro CDM ni vipofu hawalioni hilo....
Dr Slaa kwa nini usishangae mpaka leo bado ujafunga ndoa unazeeka. Unamshangaa Kinana.
Huyu mzee Slaa is like a startled rabbit caught in headlights,he has no
idea and Majority of Tanzanians
don't Know what he wants... i think its about time to
hang those gloves ... siasa zimeshinda huyu babu
Ili twende sawa please
list uzushi wa Slaa na uongo wake angalau tuweze kujadili na uache
kuchukua kauli za JK mpenda majibu mepesi .It is about time uutaje
uzushi wake na uongo kwa ushahidi tuone wote hapa .[FONT=century
gothic]
[/FONT]
Kuweni na hekima nyie wafuasi wa CDM msipende kuwa waumini wa binadamu mwenzenu bali wekeni nguvu kukitetea chama si mtu
Hapa saa ndo umeeleza kwa lugha inayoeleweka.
Exactly.
Wewe Ndio unazeeka vizuri hiyo?at your age you still leading a life of being a puppet and moreover you are still a parasite,shame upon you sometimes you should just let some topics pass without commenting,maana your comments zinatufanya tukujue ulivyo plain.
Kinana anatakiwa aende kushangaa wasomali wenzake wanavyotwangana risasi hovyo.
We **** ndio maana hauchaguliki Na ulifukuzwa Na mkeo. Dr. Slaa kaongea pumba zipi?