majibu ya mafupi kabisa yenye maana kubwa..
Huyo ndiyo Dr Slaa, hana longolongo hata kidogo. Ni ukweli kuwa kiongozi wa CCM kushangaa bei ya korosho ni hadaa ya kitotto kabisamajibu ya mafupi kabisa yenye maana kubwa..
Kinana anatakiwa aende kushangaa wasomali wenzake wanavyotwangana risasi hovyo.
.........anaacha kumshangaa ROSE KAMILI anamshanga KINANA ......nasi tutamshangaa 2015...mwanamume mzima unakaa kushangaa wanaume wenzako alafu bado utasikia ni dr.......ukisoma cv ndiyo utajua ni zile zile phd za Kipaimara....nyambafu...

Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr. Wilbrod Slaa amemshangaa Katibu Mkuu wa CCM Abdurahman Kinana kwa kuanza kulalamika kuhusu bei za Korosho, Ufisadi wakati Chama chake ndicho chenye serikali. Dr Slaa anasema ni bora CCM ikawa upinzani na yenyewe badala ya kuwahadaa wananchi.
Aidha amewashangaa watu wanaodai majina ya mafisadi wakati yeye alishawasilisha kwa DPP majina na akaunti za Mafisadi na watia sahihi wa akaunti hizo lakini serikali imekaa kimya hadi leo.
Slaa pia amewashangaa watu wanaodai CHADEMA ina makundi kwani huo ni uzushi usio na maana na CHADEMA haina muda huo wa kupoteza. Kazi ni moja tu ya kujenga Chama na wakati uchaguzi wa ndani ya Chama ukiwa unaendelea rushwa haitavumilika ndani ya CHADEMA hata kidogo.
Slaa ameyasema hayo katika Baraza la Mashauriano la Mkoa wa Kagera ambalo pia lilihudhuriwa na Wenyeviti na Makatibu wote wa Mikoa wa CHADEMA.
Dr Slaa kwa nini usishangae mpaka leo bado ujafunga ndoa unazeeka. Unamshangaa Kinana.
Hapa saa ndo umeeleza kwa lugha inayoeleweka.yani huyo ndio Dr. wa Ukweli na hii kauli ni fimbo kwa CCM. kauli ya kinana ni sawa na baba kuwaeleza watoto wake kuwa mke wake anatoka nje ya ndoa wakati analala naye kila siku bila ya kumuwajibisha.