Slaa ameshafika Marekani?

Status
Not open for further replies.

Mwita25

JF-Expert Member
Apr 15, 2011
3,836
1,164
Hivi huyu mzee ameshawahi kufanya hata safari moja kwenda ughaibuni ukiachilia Italia ambako alipatia upadri? Maana kila siku namsikia yupo hapahapa tu Bongoland. Unajua waswahili husema tembea uone.
 
Sidhani kama wewe ni mtoto wa mzee mwita, nenda kamuulize mama yako kuwa baba yako ni nani?
 
Badilisha jina mzee kwani wakurya ninaowajua mimi hawana upeo mdogo wa kufikiri kama wewe, any way labda mkurya wa jina tu ila sio wa nyamongo.
 
Hivi huyu mzee ameshawahi kufanya hata safari moja kwenda ughaibuni ukiachilia Italia ambako alipatia upadri? Maana kila siku namsikia yupo hapahapa tu Bongoland. Unajua waswahili husema tembea uone.

Hata London (kwenye suti) hajawahi kupelekwa!
 
Hivi huyu mzee ameshawahi kufanya hata safari moja kwenda ughaibuni ukiachilia Italia ambako alipatia upadri? Maana kila siku namsikia yupo hapahapa tu Bongoland. Unajua waswahili husema tembea uone.

aisee!mkuu yule babako uliyemwacha kijijini alishafika kwenye kale katown kenu au anafia kule kwa dengerua?
 
Hivi huyu mzee ameshawahi kufanya hata safari moja kwenda ughaibuni ukiachilia Italia ambako alipatia upadri? Maana kila siku namsikia yupo hapahapa tu Bongoland. Unajua waswahili husema tembea uone.
<br />
<br />
nyie wakurya mkishafka dar bac matatizo ma2pu,we slaa aende kwa obama kufanya nin
 
Hivi huyu mzee ameshawahi kufanya hata safari moja kwenda ughaibuni ukiachilia Italia ambako alipatia upadri? Maana kila siku namsikia yupo hapahapa tu Bongoland. Unajua waswahili husema tembea uone.
Huyu leo hapa ameonesha mwisho wa uwezo wake wa kufikiri, na sikutarajia kama utajidharaulisha kufikia viwango hivi, mimi binafsi nimekwenda marekani mara kadhaa lakini sioni mantiki ya hili swali lako la kipuuzi, sio kwa sababu umeuliza kuhusu Dr Slaa bali kwa sababu umejidharirisha kupita kiasi.
 
''Da! Kweli,tembea uone mwanaume akinunuliwa suti na kulipiwa chumba na mwarabu''
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom