Zak Malang
JF-Expert Member
- Dec 30, 2008
- 5,404
- 234
Kwani wanaweka kwa kupenda? :lol: Subiri oct 31 2010 uone 'mapenzi' yao yatakavyotoweka kwa sisiem..:welcome: inakera sana tena sana kuona bendera za kijani kila eneo
Unafiki wetu wa tanzania utatumaliza, na hili ndo jambo linalofanya CCM iendelee kutukandamiza na kufanya watakavyo, wakijua watawatisha wananchi na kweli tutatishika. Naanza kuamini kwamba watu wengi hawaipendi CCM lakini watu wataipigia kura CCM kwa sababu ya uoga unafiki na ubinafsi na kutokujali /kulithamini taifa letu. Tukiendelea na unafiki huu Vizazi vyetu vitapata taabu sanaAkiwa mkoani Arusha mgombea urais wa Chadema Dr W. Slaa amelalmikia jinsi chama tawala – CCM – kilivyoleta hali ya vitisho kwa wafanyabiashara pamoja na wale wadogo wadogo kwa kuwafanya wasimike bendera za CCM kwenye sehemu za biashara zao kwa kuogopa kubughudhiwa.
Amesema akiingia madarakani atapiga marufuku kusimika bendera za vyama vya siasa kwenye sehemu za biashara ili wafanyabiashara waendeshe shughuli zao kwa uhuru bila bughudha zozote.
Alishangaa jinsi CCM ilivyoileta hali hii miongoni mwa wafanyabiashara.
Naona umefika mwisho wa kufikiria.Huyo Slaa, bendera za CCM zinamwashia nini? Kaishiwa cha kusema kwenye kampeni zake nini?
Jaman jaman jaman ubunge mwanza kazi ipo masha hoi walijitokeza watu wachache mirongo da
ni mmoja wa mawaziri ambao hata sura zao hunichefua ninapoona. I will be happy to see him gone.
Mkuu, sijui huyo Slaa akiona hili kama hatolia...!Naona umefika mwisho wa kufikiria.
Bendera za chama cha kikomunisti cha Nikolai Ceasescu wa Romania zilikuwa zimejaa kila mahali siku chache kabla hajadondoka. CCM thugs can force business owners to use their flag, but they cannot force them to vote for that disgraced party.
Idadi ya watu waliokuja wenyewe kumsikiliza Dr. Slaa na upendo walioonyesha kwake ni uthibitisho tosha kuwa wakati huu CCM haina kitu hapo Arusha. Hata wangesimika bendera kila choo mjini bado ni kazi bure.
Uchu wa CCM wa kuendelea kutawala, na kulewa kwao madaraka ndiko kunafanya walazimishe watu kupeperusha bendera zao. Hilo litakoma siku za karibuni.
Huyo Slaa, bendera za CCM zinamwashia nini? Kaishiwa cha kusema kwenye kampeni zake nini?
Kampeni za mwaka huu huko bara ni za vituko na vioja, nakumbuka kampeni aina hii zilikuwepo sana katika chaguzi za mwaka 1995 na 2000 huko visiwani, na matokeo yake kila mtu anayajua.wakuu tuwe sirias jamani
we have bigger problems kama njaa, afya, vifo vya wazazi, elimu, barabara nk.
i advice Dr. Slaa to remain focused kuliko kuanza kwenda mrama... you are missing your target by allowing to be carried aways that easily