Kamaka JF-Expert Member Jun 7, 2010 563 33 Nov 8, 2010 #1 WAKUU, NAULIZA KUTOKANA NA FUNUNU ZILIZOJAA HUKU KIJIJINI KWETU,NI KWELI MHR SLAA KASAFIRI,KAMA NI KWELI ,JE NI KWA SABABU ZIPI?:israel:
WAKUU, NAULIZA KUTOKANA NA FUNUNU ZILIZOJAA HUKU KIJIJINI KWETU,NI KWELI MHR SLAA KASAFIRI,KAMA NI KWELI ,JE NI KWA SABABU ZIPI?:israel:
Mpita Njia JF-Expert Member Mar 3, 2008 6,997 1,163 Nov 8, 2010 #3 Waambie ha wanakijiji wenzako kuwa Slaa bado yupo nchini na hajasafiri kwenda kokote nje ya tanzania
Mwanamayu JF-Expert Member May 7, 2010 11,360 6,484 Nov 8, 2010 #4 Hata kama kasafiri nyie mnahusisha hiyo safari na nini?
Kigogo JF-Expert Member Dec 14, 2007 20,508 6,146 Nov 8, 2010 #5 jamani msimjibu kwa hasira..m beep simu yake uone kama imezimwa?ikiita ujue yupo hapa hapa anaandaa kutoa tamko zito....
jamani msimjibu kwa hasira..m beep simu yake uone kama imezimwa?ikiita ujue yupo hapa hapa anaandaa kutoa tamko zito....
M mageuzi1992 JF-Expert Member Apr 9, 2010 2,503 252 Nov 8, 2010 #6 Slaa yupo nchini ameenda kupumzika karatu...mimi nipo karatu jumapili nilimwona maeneo ya karatu huku. Anaweza akawa dar kuanzia jumatatu
Slaa yupo nchini ameenda kupumzika karatu...mimi nipo karatu jumapili nilimwona maeneo ya karatu huku. Anaweza akawa dar kuanzia jumatatu
K Kiti JF-Expert Member Nov 2, 2010 359 234 Nov 8, 2010 #7 Tunasuburu tamko zito. Nasikia viongozi wa dini walimfuata kumwambia akubali yaishe? mimi nafikiri aanike kwanza hali halisi ili wapiga kura tuone jinsi wadanganyika tulivyonajisiwa na mtoto wa CCM aitwae NEC.
Tunasuburu tamko zito. Nasikia viongozi wa dini walimfuata kumwambia akubali yaishe? mimi nafikiri aanike kwanza hali halisi ili wapiga kura tuone jinsi wadanganyika tulivyonajisiwa na mtoto wa CCM aitwae NEC.
Ndibalema JF-Expert Member Apr 26, 2008 10,956 4,648 Nov 8, 2010 #8 Hivi slaa hajawahi kwenda nje ya nchi? Sasa kwanini leo inakuwa issue?