Elections 2010 Slaa aenda nje ya nchi ?

Kamaka

JF-Expert Member
Jun 7, 2010
563
33
WAKUU,
NAULIZA KUTOKANA NA FUNUNU ZILIZOJAA HUKU KIJIJINI KWETU,NI KWELI MH:DR SLAA KASAFIRI,KAMA NI KWELI ,JE NI KWA SABABU ZIPI?:israel:
 
Waambie ha wanakijiji wenzako kuwa Slaa bado yupo nchini na hajasafiri kwenda kokote nje ya tanzania
 
jamani msimjibu kwa hasira..m beep simu yake uone kama imezimwa?ikiita ujue yupo hapa hapa anaandaa kutoa tamko zito....
 
Slaa yupo nchini ameenda kupumzika karatu...mimi nipo karatu jumapili nilimwona maeneo ya karatu huku. Anaweza akawa dar kuanzia jumatatu
 
Tunasuburu tamko zito. Nasikia viongozi wa dini walimfuata kumwambia akubali yaishe? mimi nafikiri aanike kwanza hali halisi ili wapiga kura tuone jinsi wadanganyika tulivyonajisiwa na mtoto wa CCM aitwae NEC.
 
Hivi slaa hajawahi kwenda nje ya nchi?
Sasa kwanini leo inakuwa issue?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom