Skype social media platforms hacked by 'Syrian Electronic Army'

Aidan85

Member
Joined
Mar 31, 2013
Posts
10
Reaction score
1

1479453_10153038907202588_1568087399_n.png

The social media platforms of the company have been hacked by a group claiming to be the Syrian Electronic Army (SEA).

The group posted a message telling people not to use#Microsoft, the owner of Skype.

It claimed "they are monitoring your accounts and selling the data to the governments".

The hack comes after recent revelations about surveillance programmes being run by US intelligence agencies.

Skype acknowledged that it had been hacked but said that "no user information was compromised".

The Syrian Electronic Army (SEA), which says it supports President Bashar al-Assad, has been behind recent hack attacks on the New York Times and Twitter.
 
Huu ni mpambano wa mataifa yenye technology, sisi waafrica huku tunatumia tu hata wasemeje kwani ni nani anayeihofia africa kuhusu usalama wake mpaka watufanyie udukuzi
 
kaka mi ninavyojilinda utafkiri raisi wa mars vile kama kesho naja kuivamia dunia. unaweza kuona hawawezi kumchunguza mwafrika ila si kweli wanatuhitaji sana.

ili watufanye sisi tuwe masikini na tusiweze kuwa matajiri inabidi watujue ndani nje. wakispy mamilion ya watz watajua udhaifu wetu na kisha wao kutudidimiza.

pia unatakiwa ujilinde huwezi jua kesho utakua nani dunia hii unalala negative unaamka positive.

google servive, service za microsoft (za online) na vitu kibao vya kimarekani havina nafasi kwenye vifaa vyangu.
 
Hili Nalo Neno!
 
Kwa njia hiyo mkuu huwezi kuwaepuka hao watu, nilkuwa nasikiliza radio moja kuwa marekani wanavi-chip vifaa vya electronic vya aina nyingi na vinapeleka data moja kwa moja usalama wa taifa, hata watu wakijitahidi kukwepa software jamaa watapitia kwenye hardware na kuhusu umasikini unafikiri watatudidimiza mara ngapi mkuu, hawa jamaa wanambinu nyingi tu ukiachana na njia ya mawasiliano
 
Mpaka skypee wapo,kuna vitu haviepukiki,labda usijihusishe navyo kabisa
 
Kwa njia hiyo mkuu huwezi kuwaepuka hao watu, nilkuwa nasikiliza radio moja kuwa marekani wanavi-chip vifaa vya electronic vya aina nyingi na vinapeleka data moja kwa moja usalama wa taifa, hata watu wakijitahidi kukwepa software jamaa watapitia kwenye hardware na kuhusu umasikini unafikiri watatudidimiza mara ngapi mkuu, hawa jamaa wanambinu nyingi tu ukiachana na njia ya mawasiliano

kaka ndio maana wanahangaika kununua makampuni ya europe na china. motorola na nokia zishahamia kwao. unafkiri kitu kitoke finland kije tz watakichip wapi?

korea nao washaanza hii michezo lg na samsung wamo. dawa ni kutumia kampuni za kawaida kama kina jola,

njia za kuwaepuka zipo na zitakuja tu kaka huu sio mwisho wa dunia. kuna encryotion za nokia, toshiba na pirate bay zimetoka hivi karibuni zitasaidia.
 
Back
Top Bottom