Skirt fupi Maofisini

Wazungu walipokuja waliwakutaje Waafrika?, mbona walikuwa wanapiga vi-mini vya magome ya miti, bila chupi na maziwa yanakuwa nje
 
Zina husika sana kwa cha mkwezi chafastafasta
 
una ushauri gani kwa sisi walimu.....?

Umenikumbusha nganza siku za michezo, siye tulikua tunavaa vibukta hivyo balaa.Popote ulipo uliekua mwalimu wetu wa michezo nazani alikua anafuraia sana kuona mapaja yetu.
 
Umenikumbusha nganza siku za michezo, siye tulikua tunavaa vibukta hivyo balaa.Popote ulipo uliekua mwalimu wetu wa michezo nazani alikua anafuraia sana kuona mapaja yetu.

Alikuwa hawali???
 
Umenikumbusha nganza siku za michezo, siye tulikua tunavaa vibukta hivyo balaa.Popote ulipo uliekua mwalimu wetu wa michezo nazani alikua anafuraia sana kuona mapaja yetu.

wewe apo ni yupi kati yao kama uyo shot chesesii mwe upee anaonyesha mtamuu kweli
 
Refaaaaaa, huyu jamaa kazidi puliza kipyenga
 
Hicho kipya cha wapi tena baki njia kuu

Njia kuu yako ndo mchepuko wa mwenzako kila mtu akibaki njia kuu huoni foleni ake itakavokua halaf njia kuu ina miba ahhhhahhha CYBERTEQ alikua wa kupotezea muda siku ziende alieshikilia uskani yupo hasa hata yy anamjua isikupe shaka.hiyoooooo
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…