Skirt fupi Maofisini

Mkuu Tyta hapo namba tatu kutoka kushoto ni ugonjwa wangu aisee, naweza kukabidhi ufunguo wa gari

Dah kaka mbona ndio michongo yangu hiyo...amekaa kichagga chagga...utakuta anaitwa Aika au Kekuu...ah! maisha haya.
 
kuhusu mavazi ni uamuzi wa mtu avaeje ili kujisitiri mwili wake ila kuna wengine wanapitiliza jamani
mpaka wanabaki kama Mungu alivyowaumba mm mwenyewe huwaga sipendi tabia za aina hiyo
kwanini mwlili wako usiupambe kwa kuvaa nguo zinazositiri mwili mpaka unabaki kuwashangaza wengine

Na isitioshe wako ambao miili yao kama ya kwangu yaani wanene sasa hapo jamani ukivaa nguo fupi inakuwaje jamani mwanamke mwenye tabia njema na mstaarabu ndiye mwenye kujistiri mwili kwa kujpamba ivile upendavyo na kujipamba kwa nguo za heshima sio nasema uvae nguo ndefu kama bainiani la hasha vaa nguo njema na yenye mvuto kwa watu itakayokufanya uende na wakati ila yenye hishima kwa mbali bestito msinihukumu wala msijisikie vibaya ni maoni yangu tu mabestito
 
loading error...............................
 
Na ungekufa masikini.
 

daah, kaka unanikumbusha siku moja nafanya mtihani, katika kuangaza angaza macho si nkaona dem kavaa skrt fup mapaja yako nje, hakyanan point zote zilipotea, yaan nlkoswa koswa na supplmntary, dada zet muwe na huruma
 
ila ni kweli wengi walioajiriwa au kuwa maofisini wamefanya vimini ni sehemu ya sare ya ofisi hivyo kuna kila sababu ya kufanya malekebisho ya huo utamaduni japo ni uamuzi wa mtu mwenyewe
 
ila jaman kuna watu wanapiga vimini hadi aibu..... yani unakutana na mwanamke mwenzio hadi aibu jinsi alivyovaa loo!!! shida hii jaman tuwe tunajisitiri kwenye mavazi sio poa kujiachia achia miili yetu khaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…