Skinwalker Spotted In New Mexico

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
360,973
Reaction score
831,529


 

Attachments

  • 1405731620167.jpg
    3.6 KB · Views: 2,534
Last edited by a moderator:
Huyo atakuwa km si Matola basi ni Nyakageni.
Wana shemeji yao hakai mbali na maeneo hayo.
Mbazilifu mmoja.

Na hio ndio staili wanayoingilia nayo kila mara!
Kama anaenda kumbe anarudi!

Vitu vya kawaida tu hivyo, nilisha kutana nao nikatembeza kichapo vibaya.
Mpaka leo wananikumbuka!
We waulize tu!
 
Last edited by a moderator:

Hahahahaaaaa....!!!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu, hii nyapi iliposkia ocean road ikaskia harufu ya samaki fasta!

Tehe tehe tehe!
Hawa manyapi wa pwani kwa samaki ni balaa!

Duuu utakinukisha salsa hivi hahahahaaaa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…