Sizonje usichanganyikiwe, Mambo bado!!

Magufuli has made all Tanzanians to look alike despite the endowments. I real salute him especially for the low income earners can afford to restructure their lives. Unlation rate has decreased tremendously and therefore properties' prices have fallen consequently. Mifuko ya cement sasa hivi ni elf 16 kutoka elf 23 ya twiga. Hata masikini atajenga. Magufuli umetutendea vyema sisi masikini na kuondoa umungu mtu wa watu Fulani Fulani ambao walikuwa wanaenda kula lunch Dubai au south Africa na kurudi kula dinner tanzania
 
Sema we mpigaji ndo huna hamu nae. Sisi huku ni mkombozi wetu wanyonge. 2020 lazima spate kula nyingi sana asilimia mia
 
Wewe ondoka hapa tafadhali!! Sisi tunamjadili Sizonje huyo Magufuli unamleta wewe sisi hatumjadili yeye.
 
Shizonje alivokuwa kijijini alikuwa mtu mzuri tu na mwenye hofu ya mungu, alipoingia mjini tu wapiga dili wamemuharibu kawa mlevi wa kutupwa! Kala mpaka rambirambi za wajane"
 
Walimu gani hao,walimu mnavyowadharau hivo,wengine wapo mtaani mwaka wa 2 huu
 
Hii thread imesadifu kipimo cha IQ za watanzania! Huwezi amini hawa ndio intellectual's hapa nchini halafu wameandika pumba namna hii! Yaani mazungumzo yao ya kawaida sana! Kwakweli inasikitisha!
 
Mweleze sizonje pa kisu hapaingii shoka ndg yangu, asilazimishe mambo mpini ukamvunjikia mikononi pake.
 
Hii thread imesadifu kipimo cha IQ za watanzania! Huwezi amini hawa ndio intellectual's hapa nchini halafu wameandika pumba namna hii! Yaani mazungumzo yao ya kawaida sana! Kwakweli inasikitisha!

Naona Mkuu Umekurupushwa Huko Mafichoni Naona Umekuja Wangu Wangu Kulikoni?
 
Mimi nimekuelewa mkuu ila nimependa utunzi huu 10000%
 
Mweleze sizonje pa kisu hapaingii shoka ndg yangu, asilazimishe mambo mpini ukamvunjikia mikononi pake.
Tatizo la Sizonje ubishi mwingi na hashauriki!! Timu imemshinda!!!
 
Sizonje umefanya maajabu,vibarua hawajapewa increments zao haijawahi tokea ktk historia ya Tanzania. Ni maajabu makubwa mno.
Ni tafrani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…