Sizonje usichanganyikiwe, Mambo bado!!

Tumia lugha inayotumika kama sizonje, licha, timu, mpira, n. K. Leaning Uko nje ya lugha hiyo????
 
Sizonje ameanza wayawaya!! Haijulikani rambirambi halisi ni zipi!! Kila siku hesabu mpya!! Sizonje huyu!!!
 
Jaman HV hamjui kama jamaa ana hacra?atatuma yule malaika halaf tukatafutana
 
Shida ya kuruhusu darasa la saba nao wawe wabunge ndio hii, mtu kama kibajaj ana akili gani?

Server yenyewe tu JF haipo Tanzania ipo Marekani, hivi watu wanaishi Marekani uwaambie FBI eti wawakamate kwa freedom of speech? Huu ni umajinuni.
Server ya JF ingekuwa bongo nadhani angetuma vifaru kuisambaza
 
Tunajuta kumpa ukocha sizonje.hatuna hamu nae kabisa
 
Wapuuzi tu nyinyi, hamna sumu, zaidi ya kelele na umbea tu mitandaoni, acheni upuuzi wenu, otherwise forums itazinguliwa hii, wengi tunakuja relax humu. Don't spoil our fun sababu ya upuuzi wenu, pumbavu!
Kwa nini usiende relax kwenye ki brog cha chama chenu mnachosifu kila kitu?usituletee mikwara mbuzi hapa
 
Sizonje anataka tumuombee kwa Mungu huku akiwadhulumu wahanga wa tetemeko kagera! Labda sizonje ana Mungu wake sio huyu tunayemuamin.
 


Huyo umemtaja wewe , sisi humu tupo na Sizonje kocha wa timu , kama nawewe mfua jezi yake basi tuliza kipele
 
Huyo umemtaja wewe , sisi humu tupo na Sizonje kocha wa timu , kama nawewe mfua jezi yake basi tuliza kipele
Mkuu hao ndo wanatuletea uchochezi!! Sisi tupo na mpira tubamjadili kocha wetu Sizonje sijui kwanini wanatuletea mambo ya siasa!!!
 
Bashe ni mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya New Habari ambayo ndio wamiliki wa gazeti la Mtanzania kampuni inayomilikiwa Rostam Azizi rafiki yake mkubwa Lowassa unganisha doti hapo...sina uhakika kama habari siku hizi zinapitia News room au zinatoka kwenye Simu na kuchapishwa....yapo mambo mengi ya kuandika huko Vijijini Wananchi wakaelimika.....
 
Tafadhali ndugu usituletee ugomvi hapa!! Hao akina Bashe na New Habari wanaingiaje hapa? Kuhusu habari za wananchi si mna vyombo vingi tuuu mbona hamtangazi? Mna gazeti la uhuru, Mzalendo, HabariLeo na Tazama bado tuu hamtaki tujadili mpira mnataka turipoti mambo ya vijijini?

Mmetukataza siasa mnataka na mpira mtukataze? Hili hapana Sizonje anaua timu yetu!!!
 
NNyie watumbuliwajwi mtaumia sana utawala huu. Utawala huu ni imara sana hauteteleki hata kidogo. Fanyeni kazi pesa za ovyo hazipo tena. TRA siku hizi hamna pesa za dili tena. Zamani nilikuwa nawaogopa sana wanaofanya kazi TRA lakini kwa sasa tunaheahimiana tu na Dada zetu hawawatombi tena ovyoovyo mana hela zimekata. Walimu walikuwa wanaonekana kama wasindikizaji lakini sasa hivi wanaheshimiwa mana wote almost wana income inayofanana. Heko magu umeleta usawa. There is low disparity of income levels.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…