Sizonje usichanganyikiwe, Mambo bado!!

Kashavuruga kila mtu lazima achanganyikiwe.hakuna anaemtaka
 
Usisahau kuja na ayo maboga ya enzi zetu maana huku kuna maboga ya kisasa
 
Lema kafungwa au yuko mahabusu! Lakini ukiona mtu anapewa majina mengi ujue kuna tatizo na huyo mtu! Mimi ningelijiuliza kukani? Ukiwa mwalimu shuleni ukaitwa majina ya ajabu ajabu unauliza ni kwa nini!
 
Sizonje nchii inawatalaamu wengi sana as uchumi nikikungalia machoni unapoongea unaonyesha unania ya dhati kabisa ni kweli kabisa but zizonje ubabe mwingine hufai hakuna n.a. busara ni borA zaidi bado namini una mda wa kulekebisha huku mambo si shwari
 
Lema kafungwa au yuko mahabusu! Lakini ukiona mtu anapewa majina mengi ujue kuna tatizo na huyo mtu! Mimi ningelijiuliza kukani? Ukiwa mwalimu shuleni ukaitwa majina ya ajabu ajabu unauliza ni kwa nini!

Hayo majina ya walimu najua sana, sometimes ni upumbavu tu wa wanafunzi, unakuta mwalimu anapiga kazi yake kiuweledi sana, kutokana na hulka ya kipuuzi ya baadhi yetu tokea kuzaliwa, utashangaa wanamtungia jina la kipuuzi puuzi.
Badala ya kujifunza na kuheshimu
 
You are not objective! Kumbe wewe ni CCM mkereketwa. I have been a teacher for 10 years, sikupata jina la kipuuzi. Walikuwa wananiita Doctor kwa kufundisha vizuri Chemistry na Biology! Kuwa objective!
 
Freedom of speech na ukisha kuwa public figure uwezi zuia majina na matani juu yako Lamda uwe uongozi wa kibabe
 
You are not objective! Kumbe wewe ni CCM mkereketwa. I have been a teacher for 10 years, sikupata jina la kipuuzi. Walikuwa wananiita Doctor kwa kufundisha vizuri Chemistry na Biology! Kuwa objective!

I have been for 20 years, and am objective and I don't have to convince you. Ewe mpinzani mkereketwa.
 
SIZONJE sijui anapeleka wapi nchi.....

Alafu mbona Sizonje amepewa majina mengi this time?.......

Mala Juma Ponda Mali ,Mala Nyampala,Tembo, Sasa nasikia anaitwa Trump ......

Kuna ukweli juu ya majina ya Shizonje?.......
Hahahahahahaahahaha
 
Dah! Maskini kocha Sizonje kelele, majigambo na vitimbi vingi kumbe ukocha hauwezi asilani! Sasa timu inacheza madudu kwenye kila position na timu kupoteza points muhimu kwenye kila mechi muhimu.

Hongera sana Mkuu lusungo leo hii umetuonyesha kipaji chako kikubwa sana cha utunzi uliotulia ambao wengi humu tulikuwa hatukijui.

Msalimie rafiki yako Sizonje mwambie wanachama, wapenzi na mashabiki wa timu yetu pendwa tumechoshwa naye na tusingependa kuona timu yetu pendwa ikiendelea kudorora kila uchao.

BRAVO Mkuu.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…