huko kwenu vipi
JF-Expert Member
- Jun 4, 2015
- 1,540
- 1,475
"Sizonje bado nina imani n.a. wewe ila huku kwenye uchumi mambo si shwariii bado unamda wa kufanya vizuri mafuta yakawa asali tafuta watalamu as uchumi kaa nao meza moja uone
Ndio Sizonje HahahahahahahaaaaaJamani mmeniacha Gizani.sizonje ndo nani
sizonje ni hatariNdio Sizonje Hahahahahahahaaaaa
Umeelewa nn hapo mpaka useme hivo kaka au imepenyaaaa[emoji3]
Baso hakuna haja ya kuwa n.a. washauri wa rais n.a. kama tumeshidwa kisasa basi tufanyekienyeji tumletee kamati ya ufundi atuangalizie kuhusu uchumiwakimshauri kinyume anawafuta kazi,wanatakiwa wafate anavyotaka
Matusi ya jumla jumla hapa jukwaani hayakubaliki, ni lazima ajibiwe kwa uzito uleule.Baba Samira watch your language [emoji3]
Ahahaaaaa ama kweli JF kiboko yao.Matisi ya jumla jumla hapa jukwaani hayakubaliki, ni lazima ajibiwe kwa uzito uleule.
Ila JF kiboko nimepata na daughter Samira humu humu. Watu wana mamboo.
Ila nilichogunduwa maisha magumu yanachangia sana, maisha ya Mtanzania inahitaji uwe mtulivu sana ndio uepuke stress.Ahahaaaaa ama kweli JF kiboko yao.
Mi mwenyewe nilikuwa sijui kama ni Mnyalu hadi nilipofahamishwa humu na walimwengu.
Samira hajambo lakini?[emoji23] [emoji23]
hahahaaa......tawileBaso hakuna haja ya kuwa n.a. washauri wa rais n.a. kama tumeshidwa kisasa basi tufanyekienyeji tumletee kamati ya ufundi atuangalizie kuhusu uchumi
Nani akfungwa kwa kuota?Ni wapuuzi sana hawa, hii nchi imejaa wanafiki sana, angalia majina ya kinafiki anayopewa raisi, nyie ndio mtasababisha hii forum ifungiwe, endeleeni kumchafua chafua, mwenzenu kafungwa kisa ameota, kufungiwa hii ni issue ndogo sana
kusini mwa malawi labda mbona hku kusin mwa tz 2meshavuna?Ungejua jinsi sisi wakulima wa korosho huku kusini tunavyofaidi uongozi wa Sizonje ungebadili hayo malawama.
Pikipiki na vifaa vya ujenzi vinatoka madukani kwa kasi ya ajabu.Juzi mkulima wa kawaida alifariki kwa mshituko baada ya kupokea milioni 17 za malipo ya korosho.Alishituka kwa kuwa hajawahi kupokea kiasi hicho.
Kwa kosa lipi? Who is Sisonje?Afungie tu kwani kitu gani. Angefunga tusichimbe makaburi mizoga itazagaa ile neno, aifunge jf hakuna tatizo akipita yakwake yameisha
Kwahiyo stakabadhi ghalani inaanza kulipaUngejua jinsi sisi wakulima wa korosho huku kusini tunavyofaidi uongozi wa Sizonje ungebadili hayo malawama.
Pikipiki na vifaa vya ujenzi vinatoka madukani kwa kasi ya ajabu.Juzi mkulima wa kawaida alifariki kwa mshituko baada ya kupokea milioni 17 za malipo ya korosho.Alishituka kwa kuwa hajawahi kupokea kiasi hicho.