Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,428
- 11,843
Sizonje kashakata moto. Hana tofauti na Gari la mkaaa, tripu shamba, tripu gereji .
[emoji23][emoji23]
Nimecheka kwa sauti kubwa!
Hakika JF ni Burudani tosha! [emoji4][emoji4][emoji4]
Kumbe magari ya mkaa ndivyo yalivyo?!
Sikujuaga!
Niliwahi kusikia magari ya takakata ya Manispaa mengine yakifika Mlimani hayaingizi gia hivyo inabidi dereva awe na watu 2-3 pale mbele wasaidiane kuishikilia gia ili ikubali isihame hadi wamalize kupanda mlima[emoji3][emoji3]
Hii ya habari ya gari ya taka nimeisikia leo kwako [emoji3][emoji3]