Sizonje usichanganyikiwe, Mambo bado!!

Sizonje usichanganyikiwe, Mambo bado!!

Sizonje ni kama Arsene Wenga hatiii leo alifanya viziri tunasema aendelee akifungwa tunasema imetosha asepe tu.
 
Sizonje kawa Kocha/Mchezaji. Siku hizi anaingia uwanjani mwenyewe. Kuanzia kipa, mabeki, viungo na washambuliaji hawajui wafanye nini maana yupo kila sehenu. Kidogo amuondoe nahodha kama si mmoja wa makocha wa zamani kuingilia kati.
Makocha wa kigeni hasa wa Ulaya anawaona wabaya. Anapenda sana kupata ushauri wa kocha mmoja mrefu mwembamba wa timu moja jirani.
Wachezaji wanaishi kwa wasiwasi muda wote maana waweza kukosa namba kama Kakolanya muda wowote. Mpaka sasa kagoma kucheza za mbali.
 
Anapigiwa za mbali kama Aishi Manula?
 
Timu inaendeleza ule msemo maarfu wa Ustadhi Mwinyi:"KICHWA CHA MWENDAWAZIMU"
 
Hivi mashabiki wa hiyo timu hawawezi kushinikiza kocha akaachia ngazi? Mbona twaona timu zingine mashabiki wakiandamana mpaka makocha wao wanaachia ngazi?
 
Tatizo la kocha huyu ni MHUNI anatembea na MIGUU YA KUKU ukimkosoa tu anaku WASHA ili usiendelee ku-WASHWA WASHWA ukiwa nje ya Pitch! Hatari sana!
 
Back
Top Bottom