Sizonje usichanganyikiwe, Mambo bado!!

Usituchafulie uzi mkuu unaweza pita tuu.
Acha kulia wewe kama unaona Tanzania imekuelemea kwa makosa yako mwenyewe hamia somalia hatuja kufunga kamba asiyefanya kazi na asile
 
Acha kulia wewe kama unaona Tanzania imekuelemea kwa makosa yako mwenyewe hamia somalia hatuja kufunga kamba asiyefanya kazi na asile
Ninaelia mimi au wanachama wa timu ya Lumumba FC anakotoka kocha Sizonje? Hujaona Shigongo alivyotapikwa kama chatu atapikavyo mzoga?
 
shigongo alia
Nawashangaa hao wachambia upupu wanaokesha hapa kutetea upuuzi huku wenzao akina Shigongo waliojitoa kukibeba chama kwa media zao wakilia kilio cha mamba!!
 
Ninaelia mimi au wanachama wa timu ya Lumumba FC anakotoka kocha Sizonje? Hujaona Shigongo alivyotapikwa kama chatu atapikavyo mzoga?
Wanafiki tu wale wanauma na kupuliza tena hao ndio wakukaa nao mbali kama Ukoma Rais hana shida wenye shida wao kwa madhambi yao waliojifanyia ndio yanawatafuna sasa kaza buti Rais wangu nyeupe itabaki kuwa nyeupe tu .
 
Nawashangaa hao wachambia upupu wanaokesha hapa kutetea upuuzi huku wenzao akina Shigongo waliojitoa kukibeba chama kwa media zao wakilia kilio cha mamba!!
Halafu wafuta vioo vya ofisi ya Lumumba fc wanakomaa (akina LIZABONI).
 
Umetafunwa na laana wewe.
Laana ipi sijala cha mtu tatizo lenu mnataka mambo mazuri kwa wakati mmoja wakati hata kodi kulipa kwa mijeledi fanya kazi lipa kodi stahiki tulia usubiri mavuno kazi kulia lia tu .
 
Sizonje hii ndio nyumba yetu, milango ipo watu wanapita madirishani, ingia uyaone maajabu ya nyumba yetu, ingia uyaone maajabu ya nyumba yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…