sister
JF-Expert Member
- Nov 23, 2011
- 9,014
- 6,847
hata sijazaliwa........1983 standard three
na hilo shairi sijalisahau mpaka leo,hadithi inatokuja...
hata sijazaliwa........1983 standard three
na hilo shairi sijalisahau mpaka leo,hadithi inatokuja...
hata sijazaliwa........
na vitoto pia........Mh.. ndio mjue kuna vibabu mnaongea navyo humu.....
1983 standard three
na hilo shairi sijalisahau mpaka leo,hadithi inatokuja...
hiki kitabu nilikuwa sikipendi sababu mwl alikuwa mkali sana kila swali wewe tu... duu umenikumbusha mbali sana..Ohh my God. Siku azigandi.View attachment 88434
sungura afahamika ujanja kajijazia, wenzake anawacheka sungura huwazomea,Ila siku ikafika ya sungura kuumia,ya sungura kuumia, sungura nakuambia nakuambia.Hadithi inayokuja, ni ya sungura sikia,alitoka siku moja, njaa aliposikia,...................................................njaa aliposikia, sungura nakwambia